Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba vinara wa kukosa penalti

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba ,imeingia katika takwimu ngumu wakiwa ndio timu inayoongoza kwa kukosa penalti.

Mpaka sasa Simba imekosa jumla ya penalti 5 huku tatu kati ya hizo wakikosa washambuliaji wao watatu.

Nahodha wa Simba John Bocco pamoja na wenzake Meddie Kagere, Chris Mugalu wameungana na kiungo Rally Bwalya huku beki Erasto Nyoni naye akiwemo.

Biashara wako nyuma ya Simba wao wakikosa penalti mbili kupitia wachezaji wao wawili tofauti Collins Opare na Baron Oketch.

Wachezaji waliokosa penalti mpaka sasa ni pamoja na Lusajo Mwaikenda (Azam FC), Oketch (Biashara United), Habib Kyombo (Mbeya Kwanza), Boban Zirintusa (Mtibwa Sugar).

Wengine ni Opare (Biashara United), Emmanuel Mvuyekule(KMC), Eliud Ambokile (Mbeya City), Raymond Masota (Geita Gold), Renatus Kisase (Ruvu Shooting), Kagere, Bocco, Bwalya, Mugalu na Nyoni (wote wa Simba).

[QUOTE="vuligate, post: 1192, member: 123"] [HEADING=1]Simba vinara wa kukosa penalti [/HEADING] [IMG alt="penalti pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3739578/landscape_ratio16x9/1160/652/2f9df05ff56ab5409f413c7c1d8a9a8d/rt/penalti-pic.jpg[/IMG] Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba ,imeingia katika takwimu ngumu wakiwa ndio timu inayoongoza kwa kukosa penalti. Mpaka sasa Simba imekosa jumla ya penalti 5 huku tatu kati ya hizo wakikosa washambuliaji wao watatu. Nahodha wa Simba John Bocco pamoja na wenzake Meddie Kagere, Chris Mugalu wameungana na kiungo Rally Bwalya huku beki Erasto Nyoni naye akiwemo. Biashara wako nyuma ya Simba wao wakikosa penalti mbili kupitia wachezaji wao wawili tofauti Collins Opare na Baron Oketch. Wachezaji waliokosa penalti mpaka sasa ni pamoja na Lusajo Mwaikenda (Azam FC), Oketch (Biashara United), Habib Kyombo (Mbeya Kwanza), Boban Zirintusa (Mtibwa Sugar). Wengine ni Opare (Biashara United), Emmanuel Mvuyekule(KMC), Eliud Ambokile (Mbeya City), Raymond Masota (Geita Gold), Renatus Kisase (Ruvu Shooting), Kagere, Bocco, Bwalya, Mugalu na Nyoni (wote wa Simba). [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom