Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba: Ubingwa? subirini tu, hamtaamini

KIKOSI cha Simba kinashuka uwanjani leo saa 1 usiku kuvaana na Dodoma Jiji katika mechi za mfululizo wa Ligi Kuu Bara, huku mabosi wake wakitamba hawana presha kabisa ya kutetea taji, kwani wanajua wataikamatia wapi Yanga inayoongoza msimamo.

Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 34 ikizidiwa kwa pointi 11 na Yanga ambayo imecheza mechi moja zaidi, lakini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ alisema kwa namna walivyojipanga wala hawana presha ya ubingwa.

Licha ya Simba kumkosa beki Shomary Kapombe aliyeumia katika mchezo uliopita walioshinda 3-0 dhidi ya Biashara United, Try Again alisema wataishukia na Dodoma Jiji leo, kisha kuendelea na mipango yao ya mechi za kimataifa za michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Kundi D itakapoialika RS Berkane ya Morocco katika mbio zao za kutinga robo fainali.

Try Again alisema kwa jinsi walivyojipanga kwao kila mchezo kwao ni kama fainali kwa nia ya kutaka kuvuna pointi tatu na kupunguza pengo baina yao na watani wao Yanga ambao jana walijimarisha kileleni kwa kuifunga Geita Gold 1-0 jijini Mwanza na kufikisha pointi 45.

“Sisi kama Simba tunaangalia kila mchezo tunaokutana nao kwa ukubwa bila ya kubagua wala kuangalia aina ya timu ambayo tutacheza nayo,” alisema.

Try Again alisisitiza malengo yao ni kuhakikisha wanatetea tena ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, akisema nia, uwezo na sababu ya kufanya hivyo wanayo hata kama wameachwa nyuma kwa pointi kadhaa (11) na Yanga.

Alisema wanatambua ushindani mkubwa wa Ligi uliopo kwa kila timu, lakini watapigana kufa au kupona kuhakikisha michezo yao wanafanya vizuri.

“Tuna kikosi kizuri kila mchezaji anatamani kuiona Simba ikitetea ubingwa mara ya tano mfululizo kitendo ambacho kinaumiza timu nyingine, ndio mipango yetu hakuna namna na wala hatuna presha yoyote,” alisema Try Again.

Try Again aliwataka mashabiki wa Simba kuendelea kuwasapoti nyota wao wawapo katika majukumu yao kwa kuwa wao pia ni sehemu ya timu kupata matokeo.

“Mashabiki wetu tukawashukuru sana kwa kuwa pamoja na timu yao kila timu yao inapoenda waendelee hivyo hivyo ili tutimize malengo yetu kwa pamoja. Kuhusu Yanga kutuzidi pointi, ni kawaida yao karibu kila msimu wanaongoza, ila sisi ndio tunaobeba ubingwa na hilo hatuna wasiwasi kabisa,” alisema.

[QUOTE="mhariri, post: 1197, member: 122"] [HEADING=1]Simba: Ubingwa? subirini tu, hamtaamini[/HEADING] [IMG alt="ubingwa pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3739686/landscape_ratio16x9/1160/652/44239710b45851c11fddd0f9a6122b4c/LE/ubingwa-pic.jpg[/IMG] KIKOSI cha Simba kinashuka uwanjani leo saa 1 usiku kuvaana na Dodoma Jiji katika mechi za mfululizo wa Ligi Kuu Bara, huku mabosi wake wakitamba hawana presha kabisa ya kutetea taji, kwani wanajua wataikamatia wapi Yanga inayoongoza msimamo. Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 34 ikizidiwa kwa pointi 11 na Yanga ambayo imecheza mechi moja zaidi, lakini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ alisema kwa namna walivyojipanga wala hawana presha ya ubingwa. Licha ya Simba kumkosa beki Shomary Kapombe aliyeumia katika mchezo uliopita walioshinda 3-0 dhidi ya Biashara United, Try Again alisema wataishukia na Dodoma Jiji leo, kisha kuendelea na mipango yao ya mechi za kimataifa za michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Kundi D itakapoialika RS Berkane ya Morocco katika mbio zao za kutinga robo fainali. Try Again alisema kwa jinsi walivyojipanga kwao kila mchezo kwao ni kama fainali kwa nia ya kutaka kuvuna pointi tatu na kupunguza pengo baina yao na watani wao Yanga ambao jana walijimarisha kileleni kwa kuifunga Geita Gold 1-0 jijini Mwanza na kufikisha pointi 45. “Sisi kama Simba tunaangalia kila mchezo tunaokutana nao kwa ukubwa bila ya kubagua wala kuangalia aina ya timu ambayo tutacheza nayo,” alisema. Try Again alisisitiza malengo yao ni kuhakikisha wanatetea tena ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, akisema nia, uwezo na sababu ya kufanya hivyo wanayo hata kama wameachwa nyuma kwa pointi kadhaa (11) na Yanga. Alisema wanatambua ushindani mkubwa wa Ligi uliopo kwa kila timu, lakini watapigana kufa au kupona kuhakikisha michezo yao wanafanya vizuri. “Tuna kikosi kizuri kila mchezaji anatamani kuiona Simba ikitetea ubingwa mara ya tano mfululizo kitendo ambacho kinaumiza timu nyingine, ndio mipango yetu hakuna namna na wala hatuna presha yoyote,” alisema Try Again. Try Again aliwataka mashabiki wa Simba kuendelea kuwasapoti nyota wao wawapo katika majukumu yao kwa kuwa wao pia ni sehemu ya timu kupata matokeo. “Mashabiki wetu tukawashukuru sana kwa kuwa pamoja na timu yao kila timu yao inapoenda waendelee hivyo hivyo ili tutimize malengo yetu kwa pamoja. Kuhusu Yanga kutuzidi pointi, ni kawaida yao karibu kila msimu wanaongoza, ila sisi ndio tunaobeba ubingwa na hilo hatuna wasiwasi kabisa,” alisema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom