Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba: Tunaendelea tulipoishia

SIMBA inashuka tena uwanjani leo kuvaana na Dodoma Jiji saa 1:00 usiku, huku watetezi hao wakitamba wanaendelea walipoishia katika Ligi Kuu Bara.

Mechi hiyo ni ya nne kwa timu hizo kukutana katika Ligi Kuu, lakini ni moja kati ya mechi tatu zinazopigwa leo, nyingine ikiwa ni ya mapema saa 8 wakati Ruvu Shooting itakapoialika Biashara United na jioni KMC kuikaribisha Coastal Union.

Mashabiki wa Simba wameanza kutamba mtaani, baada ya kuishuhudia timu hiyo ikirejea kwa kishindo katika ligi ikitokea kwenye michuano ya kimataifa kwa kuifumua Biashara United kwa mabao 3-0, huku Dodoma iliyo chini ya kocha mpya, Masoud Djuma ikiwa na kumbukumbu ya satre ya 1-1 na Ruvu Shooting.

Rekodi zinaonyesha katika mechi tatu za awali baina ya timu hizo, Simba imeshinda, ikianza kwa kuikaribisha Dodoma katika Ligi Kuu msimu uliopita kwa kuipiga 2-1 kisha kuilaza tena 3-1 na msimu huu iliibwaga kwa bao 1-0 mjini Dodoma.

Aidha, katika mechi sita zilizopita za Simba kwenye ligi imepoteza mbili dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar na kutoka sare na Mtibwa Sugar na kushinda michezo mitatu dhidi ya Mbeya Kwanza, Tanzania Prisons na Biashara United.

Kwa upande wa wapinzani wao, Dodoma katika mechi kama hizo sita, haijashinda hata moja zaidi ya kupasuka mara nne dhidi ya KMC, Azam, Kagera Sugar na Yanga, kisha kutoka sare mbili na Geita Gold na Ruvu Shooting.

Matokeo hayo mabaya kwa Dodoma ndio yaliyomng’oa kocha Mbwana Makatta na kuletwa Djuma aliyeanza na sare akiwa jukwaani dhidi ya Ruvu na leo akiwa na kazi ya kukabiliana na waajiri wake wa zamani, yaani Simba aliyowahi kuinoa.

Uwepo wa Masoud kikosi cha Dodoma unaweza kuwa na faida mbili kila mchezaji atakayepata nafasi ya kucheza atakuwa na hamu ya kumuonyesha uwezo kocha mpya, anaifahamu timu hiyo aliwahi kuifundisha.

Hata hivyo, Dodoma itakuwa na kazi ya kuwazuia nyota wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama, Ousmane Sakho, Meddie Kagere aliyewaliza mjini Dodoma na Bernard Morrison.

Kwa upande wa Dodoma nyota wanaweza kuipa misukosuko ngome ya Simba ni Cleophas Mkandala aliyewahi kuitungua mara mbili, Waziri Junior aliyefunga bao mchezo uliopita dhidi ya Ruvu, Anuary Jabir mwenye mabao matatu, Khamis Ncha ‘Vialli’ na Emmanuel Martin ambao ni wazoefu katika Ligi Kuu Bara.

Kocha wa Simba, Pablo Franco alisema licha ya kuwa mchezo huo kuwa mgumu, kutokana na Dodoma kuwa wachezaji wenye uwezo, lakini kiu yake kuendeleza moto walioanza nao baada ya kurejea kutoka mechi za CAF.

“Ukiangalia hata mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa na ushindani wa kutosha ila dhamira yetu ni kupata ushindi na ninaamini itakuwa hivyo, hatukuwa na muda wa kutosha kufanya mazoezi ila tulioupata tuliutumia kwa kufanya vilivyo sahihi.”

Kocha Djuma wa Dodoma alisema kuna vitu alienda kuviangalia uwanjani wakati Sima ikishinda 3-0 dhidi ya Biashara.

[QUOTE="Amir, post: 1198, member: 20"] [HEADING=1]Simba: Tunaendelea tulipoishia[/HEADING] [IMG alt="tulipoishia pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3739708/65e2157dabecfd23c2843cfebf08c305/tulipoishia-pic-data.jpg[/IMG] SIMBA inashuka tena uwanjani leo kuvaana na Dodoma Jiji saa 1:00 usiku, huku watetezi hao wakitamba wanaendelea walipoishia katika Ligi Kuu Bara. Mechi hiyo ni ya nne kwa timu hizo kukutana katika Ligi Kuu, lakini ni moja kati ya mechi tatu zinazopigwa leo, nyingine ikiwa ni ya mapema saa 8 wakati Ruvu Shooting itakapoialika Biashara United na jioni KMC kuikaribisha Coastal Union. Mashabiki wa Simba wameanza kutamba mtaani, baada ya kuishuhudia timu hiyo ikirejea kwa kishindo katika ligi ikitokea kwenye michuano ya kimataifa kwa kuifumua Biashara United kwa mabao 3-0, huku Dodoma iliyo chini ya kocha mpya, Masoud Djuma ikiwa na kumbukumbu ya satre ya 1-1 na Ruvu Shooting. Rekodi zinaonyesha katika mechi tatu za awali baina ya timu hizo, Simba imeshinda, ikianza kwa kuikaribisha Dodoma katika Ligi Kuu msimu uliopita kwa kuipiga 2-1 kisha kuilaza tena 3-1 na msimu huu iliibwaga kwa bao 1-0 mjini Dodoma. Aidha, katika mechi sita zilizopita za Simba kwenye ligi imepoteza mbili dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar na kutoka sare na Mtibwa Sugar na kushinda michezo mitatu dhidi ya Mbeya Kwanza, Tanzania Prisons na Biashara United. Kwa upande wa wapinzani wao, Dodoma katika mechi kama hizo sita, haijashinda hata moja zaidi ya kupasuka mara nne dhidi ya KMC, Azam, Kagera Sugar na Yanga, kisha kutoka sare mbili na Geita Gold na Ruvu Shooting. Matokeo hayo mabaya kwa Dodoma ndio yaliyomng’oa kocha Mbwana Makatta na kuletwa Djuma aliyeanza na sare akiwa jukwaani dhidi ya Ruvu na leo akiwa na kazi ya kukabiliana na waajiri wake wa zamani, yaani Simba aliyowahi kuinoa. Uwepo wa Masoud kikosi cha Dodoma unaweza kuwa na faida mbili kila mchezaji atakayepata nafasi ya kucheza atakuwa na hamu ya kumuonyesha uwezo kocha mpya, anaifahamu timu hiyo aliwahi kuifundisha. Hata hivyo, Dodoma itakuwa na kazi ya kuwazuia nyota wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama, Ousmane Sakho, Meddie Kagere aliyewaliza mjini Dodoma na Bernard Morrison. Kwa upande wa Dodoma nyota wanaweza kuipa misukosuko ngome ya Simba ni Cleophas Mkandala aliyewahi kuitungua mara mbili, Waziri Junior aliyefunga bao mchezo uliopita dhidi ya Ruvu, Anuary Jabir mwenye mabao matatu, Khamis Ncha ‘Vialli’ na Emmanuel Martin ambao ni wazoefu katika Ligi Kuu Bara. Kocha wa Simba, Pablo Franco alisema licha ya kuwa mchezo huo kuwa mgumu, kutokana na Dodoma kuwa wachezaji wenye uwezo, lakini kiu yake kuendeleza moto walioanza nao baada ya kurejea kutoka mechi za CAF. “Ukiangalia hata mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa na ushindani wa kutosha ila dhamira yetu ni kupata ushindi na ninaamini itakuwa hivyo, hatukuwa na muda wa kutosha kufanya mazoezi ila tulioupata tuliutumia kwa kufanya vilivyo sahihi.” Kocha Djuma wa Dodoma alisema kuna vitu alienda kuviangalia uwanjani wakati Sima ikishinda 3-0 dhidi ya Biashara. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom