Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0, CHAMA NA KAGERE

MABINGWA watetezi, Simba SC wameilaza Dodoma Jiji FC mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba yamefungwa na kiungo Mzambia, Clatous Chama dakika ya 56 kwa penalti na mshambuliaji Mnyarwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 74.

Kwa ushindi huo, timu ya kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin inafikisha pointi 37, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi nane na jirani zao, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi 17.

Katika mechi zilizotangulia leo, Ruvu Shooting imelazimishwa sare ya 0-0 na Biashara United Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani, wakati Coastal Union imewachapa wenyeji, KMC 2-3 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Mabao ya Coastal Union yamefungwa na Abdul Hamisi kwa penalti dakika ya 22, William Kisingi dakika ya 82 na Rashid Chambo dakika ya 90 na ushei, wakati ya KMC yamefungwa na Emmanuel Mvuyekure dakika ya 40 na Kenny Ally dakika ya 47.

[QUOTE="Amir, post: 1201, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0, CHAMA NA KAGERE[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjNG-Al7lJhyA5emPHTx3nGWjvKn2UQ9FUATLPOiti71V9F4m86NML8dNL7KHFK2vFkVE6niBV2hneN2a11cOu3U0vVy17cJ2KoTBuv_puHPsfIT0qDKQAT_AMMseaY2J7506nsHGLE1tszKqWkEBOqJ2N6-sRbGOhVS1LpuIYn71oMTzTuxbKmU0mX=w640-h422[/IMG] MABINGWA watetezi, Simba SC wameilaza Dodoma Jiji FC mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na kiungo Mzambia, Clatous Chama dakika ya 56 kwa penalti na mshambuliaji Mnyarwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 74. Kwa ushindi huo, timu ya kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin inafikisha pointi 37, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi nane na jirani zao, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi 17. Katika mechi zilizotangulia leo, Ruvu Shooting imelazimishwa sare ya 0-0 na Biashara United Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani, wakati Coastal Union imewachapa wenyeji, KMC 2-3 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Coastal Union yamefungwa na Abdul Hamisi kwa penalti dakika ya 22, William Kisingi dakika ya 82 na Rashid Chambo dakika ya 90 na ushei, wakati ya KMC yamefungwa na Emmanuel Mvuyekure dakika ya 40 na Kenny Ally dakika ya 47. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom