Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yatangaza Kishindo Kipya Kuwavaa Rs Berkane

Klabu ya Simba leo Machi 9, 2022 imeingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa makundi kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Rs Berkane ya Morroco kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa siku ya jumapili saa kumi kamili jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Meneja wa habari na mawasiliano hiyo, Ahmed Ally amesema wameingia mapema kambini kwa ajili ya kuonesha umuhimu wa mchezo huo huku nyota wawili pekee ambao watakosekana kwenye mchezo huo.

“Taarifa ya awali kuhusu majeruhi ni kuwa Hassan Dilunga atakosekana kwenye mchezo na Clotas Chama anakosekana kutokana na kanuni za kimashindano ila Taddeo Lwanga, Kibu Denis, Chris Mugalu na Jonas Mkude wapo tayari kwa mchezo.

“Nawaomba mashabiki wetu tununue tiketi mapema. Wengi wetu tumekuwa na utaratibu wa kunua tiketi siku ya mchezo lakini ni jambo la kupendekeza siku ya mchezo kufika tukiwa na tiketi mkononi.”

“Kuna jambo lilijitokeza kwenye mchezo dhidi ya Asec la kuwaondoa mashabiki wao. Niwaombe kwenye mchezo huu tusifanye hivyo, tunaona siku ile baada ya mchezo waliondoka uwanjani kwa aibu.”

“Tanzania kwa sasa tupo nafasi ya 10 kwa kuwa na Ligi Kuu bora Afrika, hili halijaja pekee kwa michezo ya ndani bali kwa namna ambavyo tunafanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa ambayo tunashiriki.”

Berkane wamekuja wakati mbaya maana wametukuta tuko kamili.”- amesema Ahmed Ally.

Klabu ya Rs Berkane ambayo ni kinara wa kundi D inatarajiwa kuwasili kesho majira ya saa sita kamili mchana huku Simba ikikamata nafasi ya pili wakiwa na alama 4 sawa na timu ya US Gendermarie ya Niger huku Asec Mimosa ya Ivory Coast wakiwa wa mwisho na alama 3.

[QUOTE="mhariri, post: 1221, member: 122"] [HEADING=1]Simba Yatangaza Kishindo Kipya Kuwavaa Rs Berkane[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/simba-5.jpg[/IMG] Klabu ya Simba leo Machi 9, 2022 imeingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa makundi kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Rs Berkane ya Morroco kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa siku ya jumapili saa kumi kamili jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Meneja wa habari na mawasiliano hiyo, Ahmed Ally amesema wameingia mapema kambini kwa ajili ya kuonesha umuhimu wa mchezo huo huku nyota wawili pekee ambao watakosekana kwenye mchezo huo. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/simba-4.jpg[/IMG] “Taarifa ya awali kuhusu majeruhi ni kuwa Hassan Dilunga atakosekana kwenye mchezo na Clotas Chama anakosekana kutokana na kanuni za kimashindano ila Taddeo Lwanga, Kibu Denis, Chris Mugalu na Jonas Mkude wapo tayari kwa mchezo. “Nawaomba mashabiki wetu tununue tiketi mapema. Wengi wetu tumekuwa na utaratibu wa kunua tiketi siku ya mchezo lakini ni jambo la kupendekeza siku ya mchezo kufika tukiwa na tiketi mkononi.” “Kuna jambo lilijitokeza kwenye mchezo dhidi ya Asec la kuwaondoa mashabiki wao. Niwaombe kwenye mchezo huu tusifanye hivyo, tunaona siku ile baada ya mchezo waliondoka uwanjani kwa aibu.” “Tanzania kwa sasa tupo nafasi ya 10 kwa kuwa na Ligi Kuu bora Afrika, hili halijaja pekee kwa michezo ya ndani bali kwa namna ambavyo tunafanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa ambayo tunashiriki.” Berkane wamekuja wakati mbaya maana wametukuta tuko kamili.”- amesema Ahmed Ally. Klabu ya Rs Berkane ambayo ni kinara wa kundi D inatarajiwa kuwasili kesho majira ya saa sita kamili mchana huku Simba ikikamata nafasi ya pili wakiwa na alama 4 sawa na timu ya US Gendermarie ya Niger huku Asec Mimosa ya Ivory Coast wakiwa wa mwisho na alama 3. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom