Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo: Tutacheza Kibingwa Kwa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la ufundi la timu hiyo linafanya maandalizi makubwa kuhakikisha si tu kwamba kikosi chao kinaibuka na ushindi dhidi ya Berkane, lakini pia kinatoa burudani ya kibingwa.

Simba wanatarajia kuvaana na Berkane keshokutwa Jumapili katika mchezo wao wa nne wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, ambapo mpaka sasa wamefanikiwa kukusanya pointi nne katika michezo yao mitatu ya awali wakishinda mchezo mmoja, sare mchezo mmoja na kupoteza mchezo mmoja.

Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara kwenye kundi lao D, wanakamata nafasi ya pili kwenye msimamo na pointi zao nne, huku RS Berkane wao wakiwa ndio vinara wa msimamo na pointi zao sita walizokusanya katika michezo mitatu.

Akizungumza na Championi Ijumaa, kocha Pablo alisema: “Tunatarajia mchezo mgumu dhidi ya Berkane Jumapili, huu ni mchezo wa maamuzi mchezo ambao timu itakayoshinda itakuwa moja kwa moja inaongoza msimamo wa kundi hili, hivyo ni mchezo muhimu sana kwa kila mmoja.

“Lakini jambo zuri kwetu ni kuwa kwa sasa tupo katika kiwango kizuri na tutakuwa kwenye uwanja wa nyumbani, hivyo hatutacheza tu kwa ajili ya kutafuta matokeo lakini ni lazima tuonyeshe kiwango bora kama ambacho tulionyesha katika michezo yetu miwili iliyopita ya ligi kuu.”

[QUOTE="mhariri, post: 1230, member: 122"] [HEADING=1]Pablo: Tutacheza Kibingwa Kwa Mkapa[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/274301625_997489824214664_3028893231182487338_n.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la ufundi la timu hiyo linafanya maandalizi makubwa kuhakikisha si tu kwamba kikosi chao kinaibuka na ushindi dhidi ya Berkane, lakini pia kinatoa burudani ya kibingwa. Simba wanatarajia kuvaana na Berkane keshokutwa Jumapili katika mchezo wao wa nne wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, ambapo mpaka sasa wamefanikiwa kukusanya pointi nne katika michezo yao mitatu ya awali wakishinda mchezo mmoja, sare mchezo mmoja na kupoteza mchezo mmoja. Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara kwenye kundi lao D, wanakamata nafasi ya pili kwenye msimamo na pointi zao nne, huku RS Berkane wao wakiwa ndio vinara wa msimamo na pointi zao sita walizokusanya katika michezo mitatu. Akizungumza na Championi Ijumaa, kocha Pablo alisema: “Tunatarajia mchezo mgumu dhidi ya Berkane Jumapili, huu ni mchezo wa maamuzi mchezo ambao timu itakayoshinda itakuwa moja kwa moja inaongoza msimamo wa kundi hili, hivyo ni mchezo muhimu sana kwa kila mmoja. “Lakini jambo zuri kwetu ni kuwa kwa sasa tupo katika kiwango kizuri na tutakuwa kwenye uwanja wa nyumbani, hivyo hatutacheza tu kwa ajili ya kutafuta matokeo lakini ni lazima tuonyeshe kiwango bora kama ambacho tulionyesha katika michezo yetu miwili iliyopita ya ligi kuu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom