Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo: Ushindi Uhakika Dhidi ya RS Berkane Leo

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amesema hakuna matokeo yoyote ambayo anayahitaji zaidi ya ushindi katika mchezo wa Kundi D dhidi ya RS Berkane.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema wanatarajia kuwa na mchezo mzuri dhidi ya RS Berkane na kupata matokeo ya ushindi kwani ndio matokeo ambayo wanayahitaji kuliko jambo lolote licha ya kucheza na timu bora.

“Tunacheza na timu nzuri ambayo ilipata matokeo mazuri dhidi yetu nyumbani kwao, kwa sasa tupo nyumbani, sehemu yenye matumaini makubwa kwetu.

“Tunahitaji kupata matokeo mazuri na naamini tutakuwa na mchezo mzuri utakaotupa ushindi kwa kuwa hakuna matokeo mazuri ambayo tunahitaji zaidi ya ushindi,” alisema kocha huyo.

Pablo aliongeza kwa kubainisha kwamba, amewataka mabeki wake wakiongozwa na Joash Onyango na Inong Baka kuacha kucheza faulo zisizo za lazima karibu na goli lao ili kutowaruhusu wapinzani kufunga mabao kwa mipira iliyokufa kama ilivyotokea katika mchezo wa kwanza kule Morocco wakati Simba ikifungwa 2-0.

[QUOTE="mhariri, post: 1240, member: 122"] [HEADING=1]Pablo: Ushindi Uhakika Dhidi ya RS Berkane Leo[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/SIMBA-3.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amesema hakuna matokeo yoyote ambayo anayahitaji zaidi ya ushindi katika mchezo wa Kundi D dhidi ya RS Berkane. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema wanatarajia kuwa na mchezo mzuri dhidi ya RS Berkane na kupata matokeo ya ushindi kwani ndio matokeo ambayo wanayahitaji kuliko jambo lolote licha ya kucheza na timu bora. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/simba-berkane.jpg[/IMG] “Tunacheza na timu nzuri ambayo ilipata matokeo mazuri dhidi yetu nyumbani kwao, kwa sasa tupo nyumbani, sehemu yenye matumaini makubwa kwetu. “Tunahitaji kupata matokeo mazuri na naamini tutakuwa na mchezo mzuri utakaotupa ushindi kwa kuwa hakuna matokeo mazuri ambayo tunahitaji zaidi ya ushindi,” alisema kocha huyo. Pablo aliongeza kwa kubainisha kwamba, amewataka mabeki wake wakiongozwa na Joash Onyango na Inong Baka kuacha kucheza faulo zisizo za lazima karibu na goli lao ili kutowaruhusu wapinzani kufunga mabao kwa mipira iliyokufa kama ilivyotokea katika mchezo wa kwanza kule Morocco wakati Simba ikifungwa 2-0. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom