Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA YAICHAPA BERKANE 1-0 NA KUONGOZA KUNDI

BAO la Pape Ousmane Sakho dakika ya 44 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Winga huyo Msenegal alifunga bao hilo akimalizia pasi ya Mnyarwanda, Meddie Kagere na kwa ushindi huo, Simba inafikisha pointi saba na kupanda kileleni mwa kundi hilo, ikiizidi pointi moja Berkane.

Mechi nyingine ya Kundi hilo inafuatia Saa 1:00 usiku huu mjini Cotonou nchini Benin baina ya ASEC MIMOSAS ya Ivory Coast na US Gendamarie ya Niger kukamilisha mzunguko wa nne.

Kwa sasa Gendamarie ina pointi nne na ASEC pointi tatu baada ya mechi tatu.

[QUOTE="Amir, post: 1245, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA YAICHAPA BERKANE 1-0 NA KUONGOZA KUNDI[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDyq2V_8hHxOlVAWESCxwmw4r76EU4AYNQW_9QXz2YnU9vDEIpeWDPy3gcdoBJApjKd89aaEjOYki4VWj1mfCDhdRjwX1i0TtiKGuEuUAmQiH7nfumIzMu8dTp3Z6nL_OjE-G5mCHSsOQPVVKmu_6vm9Wcl0R-Nc1pcUlLSoC1dLj6E9PCGKwuAURM=w640-h422[/IMG] BAO la Pape Ousmane Sakho dakika ya 44 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Winga huyo Msenegal alifunga bao hilo akimalizia pasi ya Mnyarwanda, Meddie Kagere na kwa ushindi huo, Simba inafikisha pointi saba na kupanda kileleni mwa kundi hilo, ikiizidi pointi moja Berkane. Mechi nyingine ya Kundi hilo inafuatia Saa 1:00 usiku huu mjini Cotonou nchini Benin baina ya ASEC MIMOSAS ya Ivory Coast na US Gendamarie ya Niger kukamilisha mzunguko wa nne. Kwa sasa Gendamarie ina pointi nne na ASEC pointi tatu baada ya mechi tatu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom