Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Adebayor, Moses Phiri waiteka Simba

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba kwa sasa ni taarifa za rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji, kufungukia mipango ya usajili wa wachezaji wawili Moses Phiri na Adebayor kutua ndani ya timu hiyo katika dirisha kubwa la usajili huku wadau wakubwa wa Simba wakifurahishwa na taarifa hizo njema.

Moses Phiri, mwenye uraia wa Zambia, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Zanaco, amekuwa akiwindwa pia na watani wa Simba, Klabu ya Yanga huku Victorien Adebayor mwenye uraia wa Niger, anayekipiga katika Klabu ya US Gendarmarie pia akiwa katika mazungumzo na uongozi wa Simba.

Akizungumza na Championi Jumatatu, kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Malota Soma ‘Ball Jagler’ yeye alisema kuwa utakuwa ni usajili mzuri kwa Simba kutokana na aina ya wachezaji hao kuwa bora na watawafaa katika michuano ya kimataifa kutokana na uwezo wao na mahitaji ya klabu hiyo.

“Ni wachezaji wazuri sana, Moses Phiri ukimtazama anaweza kucheza nafasi zote za mbele kuanzia winga ya kulia na kushoto lakini kama namba kumi au mshambuliaji wa kati, kote huko anafaa kucheza na anafanya vizuri sana, hivyo kama akisajiliwa basi ataiongezea kitu kikubwa sana Simba.

“Kwa upande wa Adebayor pia ni mchezaji mzuri, yeye nimemtazama katika mchezo mmoja pekee dhidi ya Simba ambapo alisumbua sana, kama ndio yupo hivyo siku zote basi atakuwa msaada mzuri kwa Simba maana inahitaji wachezaji wenye ubora mkubwa ili iweze kufanya vizuri katika michuno ya kimataifa,” alisema mchezaji huyo mstaafu.

[QUOTE="Amir, post: 1247, member: 20"] [HEADING=1]Adebayor, Moses Phiri waiteka Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/SIMBA.jpg[/IMG] HABARI njema kwa mashabiki wa Simba kwa sasa ni taarifa za rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji, kufungukia mipango ya usajili wa wachezaji wawili Moses Phiri na Adebayor kutua ndani ya timu hiyo katika dirisha kubwa la usajili huku wadau wakubwa wa Simba wakifurahishwa na taarifa hizo njema. Moses Phiri, mwenye uraia wa Zambia, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Zanaco, amekuwa akiwindwa pia na watani wa Simba, Klabu ya Yanga huku Victorien Adebayor mwenye uraia wa Niger, anayekipiga katika Klabu ya US Gendarmarie pia akiwa katika mazungumzo na uongozi wa Simba. Akizungumza na Championi Jumatatu, kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Malota Soma ‘Ball Jagler’ yeye alisema kuwa utakuwa ni usajili mzuri kwa Simba kutokana na aina ya wachezaji hao kuwa bora na watawafaa katika michuano ya kimataifa kutokana na uwezo wao na mahitaji ya klabu hiyo. “Ni wachezaji wazuri sana, Moses Phiri ukimtazama anaweza kucheza nafasi zote za mbele kuanzia winga ya kulia na kushoto lakini kama namba kumi au mshambuliaji wa kati, kote huko anafaa kucheza na anafanya vizuri sana, hivyo kama akisajiliwa basi ataiongezea kitu kikubwa sana Simba. “Kwa upande wa Adebayor pia ni mchezaji mzuri, yeye nimemtazama katika mchezo mmoja pekee dhidi ya Simba ambapo alisumbua sana, kama ndio yupo hivyo siku zote basi atakuwa msaada mzuri kwa Simba maana inahitaji wachezaji wenye ubora mkubwa ili iweze kufanya vizuri katika michuno ya kimataifa,” alisema mchezaji huyo mstaafu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom