Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

AISHI MANULA NA CLEEN SHEETS 118, KATIKA MECHI 200 SIMBA SC

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC Jumapili walipanda kileleni mwa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco, bao pekee la winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 44 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa matoke ohayo, Simba SC inafikisha pointi saba na kuongoza Kundi D, mbele ya RSB Berkane wenye pointi sita, sawa na ASEC Mimosas ya Ivory Coast, wakati US Gendamarie ya Niger inashka mkia ikiwa na pointi nne.

Matokeo haya yanaiweka Simba kwenye nafasi nzuri ya kwenda Robo Fainali ya michuano hiyo kuelekea mechi mbili za mwisho za kundi hilo, ugenini dhidi ya ASEC Machi 20 nchini Benin na nyumbani dhidi ya USGN nyumbani Aprili 3.

Sifa zimuendee kipa Aishi Salum Manula aliyekuwa langoni Jumapili na kumaliza dakika 90 bila kuruhusu bao, akiidakia Simba SC mechi ya 200 tangu ajiunge nayo kutoka Azam FC Juni mwaka 2017,

Hapana shaka mechi 200 ndani ya miaka mitano ni kielelezo tosha cha namna Aishi, ambaye pia ni kipa bora zaidi kwa sasa nchini akiwa chachu ya mafanikio ya timu katika misimu hii mitano, akiiwezesha kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa mara mbili na kutwaa ubingwa wa Ligi Ku umara nne mfululizo.

Katika mechi zote 200 alizodaka hadi sasa, Aishi amesimama langoni mara 118 bila kuruhusu bao Simba SC na kwa ujumla amefungwa mabao 109, akiiongoza timu kushinda mechi 140, kufungwa 25 na sare 35.

Aishi mwenye umri wa miaka 26 tayari ameingia kwenye orodha ya makipa bora kuwahi kutokea siyo tu katika klabu yake, Simba bali hata na nchini kwa ujumla na sasa anawania kuweka rekodi zaidi ili kudhihirisha ubora wake.

Huyo ndiye kipa aliyeiwezesha Taifa Stars kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 nchini Misri ambaye Jumapili amedaka mechi ya 200 tangu ajiunge na Simba SC miaka mitano iliyopita.

[QUOTE="Amir, post: 1251, member: 20"] [HEADING=2]AISHI MANULA NA CLEEN SHEETS 118, KATIKA MECHI 200 SIMBA SC[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjZPiW-BBy4lsQaYih-mlRxo66Oljgnm0PINlNoH6qdWURhO8n-9yHQktq6ziYwCh2IIayNkJWtWoX_XBeRNopKJPd4sgSioNMfyVswYPjs98vYZwDfQC4W7TZBBH6rH-7DuQLTiQCD3oDHzw82Ztp76VEPRbmWOmR_CVpW1ULrDj89hiExnH92tJff=w640-h420[/IMG] MABINGWA wa Tanzania, Simba SC Jumapili walipanda kileleni mwa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco, bao pekee la winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 44 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kwa matoke ohayo, Simba SC inafikisha pointi saba na kuongoza Kundi D, mbele ya RSB Berkane wenye pointi sita, sawa na ASEC Mimosas ya Ivory Coast, wakati US Gendamarie ya Niger inashka mkia ikiwa na pointi nne. Matokeo haya yanaiweka Simba kwenye nafasi nzuri ya kwenda Robo Fainali ya michuano hiyo kuelekea mechi mbili za mwisho za kundi hilo, ugenini dhidi ya ASEC Machi 20 nchini Benin na nyumbani dhidi ya USGN nyumbani Aprili 3. Sifa zimuendee kipa Aishi Salum Manula aliyekuwa langoni Jumapili na kumaliza dakika 90 bila kuruhusu bao, akiidakia Simba SC mechi ya 200 tangu ajiunge nayo kutoka Azam FC Juni mwaka 2017, [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgyGmXl39_W5c3JZmJElHWNJ-n09bgRVqEnyjEj6CLgkOZM5I9kZwvOTPtgX_3BCq1_xqkM9sYtEzyWPZ-5IG6svd-j9xnilPkfQqLae_WIfoMmrYdlgqzkwHYh9LAV1SJKjX91xlP3XoQdYspXc4DfOt9TCT--oHs4Cx4ZRS2dIvYa1wLtOuHD7owi=w640-h392[/IMG][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi-wkC3s1baOpBLJVaO_2uktHU6266B8EhR8tVhHs76LxB5-tVqW-jIp5XG5jiFdmYR8MCKQwFb4sVDG3euijdyIUr5bF2oefD6GWB616CV9SlnEi8idraFjf9GUfb3Vkoxt0TcLp32zIBVxJH6SGl9bgrmpHXIeJ9_iw7iU1WNYjnkG2iQZGhTbbzt=w640-h418[/IMG] Hapana shaka mechi 200 ndani ya miaka mitano ni kielelezo tosha cha namna Aishi, ambaye pia ni kipa bora zaidi kwa sasa nchini akiwa chachu ya mafanikio ya timu katika misimu hii mitano, akiiwezesha kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa mara mbili na kutwaa ubingwa wa Ligi Ku umara nne mfululizo. Katika mechi zote 200 alizodaka hadi sasa, Aishi amesimama langoni mara 118 bila kuruhusu bao Simba SC na kwa ujumla amefungwa mabao 109, akiiongoza timu kushinda mechi 140, kufungwa 25 na sare 35. Aishi mwenye umri wa miaka 26 tayari ameingia kwenye orodha ya makipa bora kuwahi kutokea siyo tu katika klabu yake, Simba bali hata na nchini kwa ujumla na sasa anawania kuweka rekodi zaidi ili kudhihirisha ubora wake. Huyo ndiye kipa aliyeiwezesha Taifa Stars kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 nchini Misri ambaye Jumapili amedaka mechi ya 200 tangu ajiunge na Simba SC miaka mitano iliyopita. [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiqFX2Lr_9l-UtO_54XpW4JQB2k2xyL9IGl-9RYoEBXdq1eQ7sVtDOctKsmOWMTz3Zq4UwZgGuBTGEGaxS3o-cpxTER7-LU6xcGhhw0tFJ5Udl7m4GTmWWDVbx7rwT8VfaPjHDNcPGopi9-_wBo6I5Stz3Ct5woz1LtFNpgjQJy5CbPQbo7Cd3Iv3pz=s1295[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom