Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Aweka Mkakati Mzito Robo Fainali Caf

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa hesabu zao ni kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika michezo yao iliyosalia ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, ili kumaliza kileleni mwa msimamo wa Kundi D, hali itakayowafanya wapate ahueni ya kukutana na ‘kibonde’ katika michezo ya robo fainali.

Pablo anataka kikosi chake kimalize kinara wa Kundi D, kwa kuwa kanuni za mashindano zinampa nafasi ya kinara wa kundi kukutana na timu iliyomaliza katika nafasi ya pili kwenye kundi jingine, ambayo kwa kawaida inakuwa kibonde kulinganisha na zile zilizomaliza vinara kwenye makundi yao.

Simba jana Jumapili walikuwa na kibarua cha mchezo wao wa nne wa hatua ya makundi dhidi ya RS Berkane ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, ambapo wamesaliwa na michezo miwili tu kutamatisha hatua hiyo, ule wa ugenini dhidi ya ASEC Mimosas na wa nyumbani dhidi ya USGN.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Kocha, Pablo alisema: “Malengo yetu kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho msimu huu ni kuhakikisha tunacheza angalau nusu fainali, na katika kufanikisha hilo ni wazi tunapaswa kufanya kazi kubwa katika michezo yetu ya mwisho ili kuhakikisha tunapata matokeo.

“Tunataka kumaliza kama vinara wa kundi hili, ambapo hiyo itatusaidia kwa kiasi kikubwa kukutana na mpinzani ambaye atakuwa sio kiongozi wa kundi jingine katika hatua ya mtoano jambo litakalotupa ahueni zaidi.”

[QUOTE="Amir, post: 1256, member: 20"] [HEADING=1]Pablo Aweka Mkakati Mzito Robo Fainali Caf[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/pablo-1.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa hesabu zao ni kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika michezo yao iliyosalia ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, ili kumaliza kileleni mwa msimamo wa Kundi D, hali itakayowafanya wapate ahueni ya kukutana na ‘kibonde’ katika michezo ya robo fainali. Pablo anataka kikosi chake kimalize kinara wa Kundi D, kwa kuwa kanuni za mashindano zinampa nafasi ya kinara wa kundi kukutana na timu iliyomaliza katika nafasi ya pili kwenye kundi jingine, ambayo kwa kawaida inakuwa kibonde kulinganisha na zile zilizomaliza vinara kwenye makundi yao. Simba jana Jumapili walikuwa na kibarua cha mchezo wao wa nne wa hatua ya makundi dhidi ya RS Berkane ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, ambapo wamesaliwa na michezo miwili tu kutamatisha hatua hiyo, ule wa ugenini dhidi ya ASEC Mimosas na wa nyumbani dhidi ya USGN. Akizungumza na Championi Jumatatu, [B]Kocha, Pablo[/B] alisema: [I]“Malengo yetu kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho msimu huu ni kuhakikisha tunacheza angalau nusu fainali, na katika kufanikisha hilo ni wazi tunapaswa kufanya kazi kubwa katika michezo yetu ya mwisho ili kuhakikisha tunapata matokeo. “Tunataka kumaliza kama vinara wa kundi hili, ambapo hiyo itatusaidia kwa kiasi kikubwa kukutana na mpinzani ambaye atakuwa sio kiongozi wa kundi jingine katika hatua ya mtoano jambo litakalotupa ahueni zaidi.”[/I] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom