Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Msuva atupia, Simba ikiifunga Cambiasso

KLABU ya Simba imeibuka na ushindi na 2-1 kwenye mchezo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Cambiasso kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena, uliopo Bunju.

Mshambuliaji Simon Msuva ni kati ya wachezaji wa Cambiasso ambao wanacheza mechi hiyo na kufanikiwa kufunga bao.

Msuva yupo nje ya timu yake ya Wydad ya Morocco, huku sababu ikitajwa na kudai maslahi yake na kukaa kwake Cambiasso ni kulinda kiwango chake.

Katika mchezo huo hadi wanaenda mapuziko ubao ulikuwa unasoma Simba 1-1 Cambiasso kwa mabao ya Simon Msuva na Erasto Nyoni.

Kipindi cha pili kiungo wa Simba, Clatous Chama alikosa penalti dakika ya 68, ambapo shuti lake liliishia mikononi mwa kipa wa Cambiasso.

Penalti hiyo, ilitokana na Bernard Morrison kuwapangua mabeki wa Cambiasso, kisha akaangushwa ndani ya 18 akiwa katika harakati ya kufunga.

Chama alifunga bao la pili dakika ya 76, ilikuwa kazi ya Yusufu Mhilu ambaye akipambana na mabeki wa Cambiasso, akitokea pembeni ya uwanja kisha kutoa pasi kwa mfungaji.

Mechi hiyo, ilichezwa dakika 78 Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1, yakifungwa na Erasto Nyoni, Clatous Chama kwa Cambiasso alifunga Simon Msuva.

[QUOTE="Amir, post: 1264, member: 20"] [HEADING=1]Msuva atupia, Simba ikiifunga Cambiasso[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/simba-msuva.jpg[/IMG] KLABU ya Simba imeibuka na ushindi na 2-1 kwenye mchezo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Cambiasso kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena, uliopo Bunju. Mshambuliaji Simon Msuva ni kati ya wachezaji wa Cambiasso ambao wanacheza mechi hiyo na kufanikiwa kufunga bao. Msuva yupo nje ya timu yake ya Wydad ya Morocco, huku sababu ikitajwa na kudai maslahi yake na kukaa kwake Cambiasso ni kulinda kiwango chake. Katika mchezo huo hadi wanaenda mapuziko ubao ulikuwa unasoma Simba 1-1 Cambiasso kwa mabao ya Simon Msuva na Erasto Nyoni. Kipindi cha pili kiungo wa Simba, Clatous Chama alikosa penalti dakika ya 68, ambapo shuti lake liliishia mikononi mwa kipa wa Cambiasso. Penalti hiyo, ilitokana na Bernard Morrison kuwapangua mabeki wa Cambiasso, kisha akaangushwa ndani ya 18 akiwa katika harakati ya kufunga. Chama alifunga bao la pili dakika ya 76, ilikuwa kazi ya Yusufu Mhilu ambaye akipambana na mabeki wa Cambiasso, akitokea pembeni ya uwanja kisha kutoa pasi kwa mfungaji. Mechi hiyo, ilichezwa dakika 78 Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1, yakifungwa na Erasto Nyoni, Clatous Chama kwa Cambiasso alifunga Simon Msuva. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom