Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mastaa Simba Waapa Caf

BAADA ya kikosi cha Simba kutua nchini kikitokea nchini Benin walikokuwa kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas, mastaa wa timu hiyo wamepa ni lazima washinde mechi yao ya mwisho na kwenda robo fainali ya mashindano hayo.

Simba inatarajia kucheza na US Gendarmerie ya Niger Aprili 3, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, mchezo ambao ni lazima Wanamsimbazi washinde ili waende robo fainali. Mchezo uliopita Simba ilichapwa mabao 3-0 mbele ya ASEC ya Ivory Coast.

Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja wa Habari wa Simba, Ahmed Ally alisema baada ya kurejea nchini jana Jumanne wakitokea Benin wachezaji walioitwa timu ya taifa wataenda kwenye majukumu na wale ambao hawajaitwa wataenda mapumzikoni.

“Naomba utambue kuwa baada ya kuwasili wachezaji walioitwa timu ya taifa wataenda kwenye majukumu yao na wasiokua na majukumu hayo wataenda mapumziko, ila Machi 27, mwaka huu, kikosi kinarejea kambini kuanza maandalizi ya mechi dhidi ya US Gendarmerie.

“Tunashukuru baada ya mchezo huo kupoteza wachezaji wote wameahidi kupambana katika mechi yetu dhidi ya US Gendamerie, ambapo kila mmoja amejipanga kupata pointi tatu muhimu, kwani siku hiyo mashabiki waje kushuhudia biriani la Caf ambalo limeandaliwa spesho.

[QUOTE="mhariri, post: 1311, member: 122"] [HEADING=1]Mastaa Simba Waapa Caf[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/simbasctanzania_276061385_121956527082098_6837536992516696653_n.jpg[/IMG] BAADA ya kikosi cha Simba kutua nchini kikitokea nchini Benin walikokuwa kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas, mastaa wa timu hiyo wamepa ni lazima washinde mechi yao ya mwisho na kwenda robo fainali ya mashindano hayo. Simba inatarajia kucheza na US Gendarmerie ya Niger Aprili 3, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, mchezo ambao ni lazima Wanamsimbazi washinde ili waende robo fainali. Mchezo uliopita Simba ilichapwa mabao 3-0 mbele ya ASEC ya Ivory Coast. Akizungumza na [B]Championi Jumatano, [/B]Meneja wa Habari wa Simba, Ahmed Ally alisema baada ya kurejea nchini jana Jumanne wakitokea Benin wachezaji walioitwa timu ya taifa wataenda kwenye majukumu na wale ambao hawajaitwa wataenda mapumzikoni. “Naomba utambue kuwa baada ya kuwasili wachezaji walioitwa timu ya taifa wataenda kwenye majukumu yao na wasiokua na majukumu hayo wataenda mapumziko, ila Machi 27, mwaka huu, kikosi kinarejea kambini kuanza maandalizi ya mechi dhidi ya US Gendarmerie. “Tunashukuru baada ya mchezo huo kupoteza wachezaji wote wameahidi kupambana katika mechi yetu dhidi ya US Gendamerie, ambapo kila mmoja amejipanga kupata pointi tatu muhimu, kwani siku hiyo mashabiki waje kushuhudia biriani la Caf ambalo limeandaliwa spesho. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom