Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Ajiapiza Robo Fainali Shirikisho Afrika

KUELEKEA mchezo wao wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa watafanya kila kinachowezekana kushinda mchezo huo, ili kutinga hatua ya robo fainali.

JUMAPILI ya Aprili 3, mwaka huu, Simba wanaokamata nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi D, wanatarajia kuwa wenyeji wa USGN katika mchezo huo wa sita wa hatua ya makundi unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

SIMBA ambao mpaka sasa wamefanikiwa kukusanya pointi saba katika michezo yao mitano waliyocheza, wanatakiwa kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya USGN ili ku[1]jihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali.

AKIZUNGUMZA na Championi Ijumaa, kocha Pablo alisema: “Tulitamani kupata matokeo katika mchezo wetu uliopita dhidi ya ASEC Mimosas ili tusiwe kwenye presha kubwa katika mchezo huu wa mwisho dhidi ya USGN, lakini haikuwa hivyo. “Hayo yamepita na kazi kubwa iliyo mbele yetu kwa sasa ni kuhakikisha tunashinda mchezo ujao na kutinga robo fainali, tunacheza nyumbani mbele ya mashabiki wetu na hatima ya kufuzu kimchezo iko mikononi mwetu, hivyo tutafanya kila linalowezekana kufanikisha hilo kwa kuwa tunaamini hakuna sababu ya kushindwa.”

[QUOTE="mhariri, post: 1332, member: 122"] [HEADING=1]Pablo Ajiapiza Robo Fainali Shirikisho Afrika[IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/270778578_7099345533438811_5541774526876163966_n.jpg[/IMG][/HEADING] KUELEKEA mchezo wao wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa watafanya kila kinachowezekana kushinda mchezo huo, ili kutinga hatua ya robo fainali. JUMAPILI ya Aprili 3, mwaka huu, Simba wanaokamata nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi D, wanatarajia kuwa wenyeji wa USGN katika mchezo huo wa sita wa hatua ya makundi unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. SIMBA ambao mpaka sasa wamefanikiwa kukusanya pointi saba katika michezo yao mitano waliyocheza, wanatakiwa kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya USGN ili ku[1]jihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. AKIZUNGUMZA na Championi Ijumaa, kocha Pablo alisema: “Tulitamani kupata matokeo katika mchezo wetu uliopita dhidi ya ASEC Mimosas ili tusiwe kwenye presha kubwa katika mchezo huu wa mwisho dhidi ya USGN, lakini haikuwa hivyo. “Hayo yamepita na kazi kubwa iliyo mbele yetu kwa sasa ni kuhakikisha tunashinda mchezo ujao na kutinga robo fainali, tunacheza nyumbani mbele ya mashabiki wetu na hatima ya kufuzu kimchezo iko mikononi mwetu, hivyo tutafanya kila linalowezekana kufanikisha hilo kwa kuwa tunaamini hakuna sababu ya kushindwa.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom