Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YATINGA ROBO FAINALI KWA KISHINDO

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya US Gendamarie ya Niger usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba inayofundishwa na kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin yamefungwa na kiungo Mmali, Sadio Kanouté dakika ya 63, mshambuliaji Mkongo Chris Kope Mutshimba Mugalu dakika ya 68 na 78 na kipa Saidu Hamisu aliyejifunga dakika ya 84 katika harakati za kuokoa.

Sifa zimuendee winga Mghana, Bernard Morrison aliyeseti mabao mawili ya kwanza baada ya dakika 45 ngumu za kipindi cha kwanza.

Simba inamaliza na pointi 10, sawa na RSB Berkane wakilingana hadi wastani wa mabao na zote zinakwenda Nane Bora zikizipiku ASEC Mimosas ya Ivory Coast iliyomaliza na pointi tisa na Gendamarie pointi tano.

RSB Berkane wamefuzu baada ya ushindi wa nyumbani wa 1-0 dhidi ya ASEC leo Uwanja wa Manispaa y Berkane nchini Morocco.

Timu nyingine zilizokwenda Robo Fainali ni Al Ahli Tripoli ya Libya na Pyramids ya Misri kutoka Kundi A, Orlando Pirates ya Afrika Kusini na Al-Ittihad ya Libya Kundi B, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Al Masry ya Misri Kundi C.

Droo ya Robo Fainali itapangw Aprili 5, mwaka huu makao makuu ya Shirikisho (CAF), Jijini Cairo, nchini Misri.

[QUOTE="Amir, post: 1352, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC YATINGA ROBO FAINALI KWA KISHINDO[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6O2F5kxbdVqfl30gvbFNNs7aMdMDEMIJ3rLK9XFOyVA5kXPRC-_2CIhWROCLjXfv8ekpTLtyz6TiNPrCZI0Im-rvVrdeZ17dD8lEBXQhtJCuq-rhmTIox8zZSOjmhfDds0vpXwL7juQgTEckzlmlwyNqZTOZCv0SfCwkVG6UreLuaPfq-648NKEHs/w640-h420/5CFE7780-42EB-4118-99BB-EB6EDC9538C8.jpeg[/IMG] MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya US Gendamarie ya Niger usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba inayofundishwa na kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin yamefungwa na kiungo Mmali, Sadio Kanouté dakika ya 63, mshambuliaji Mkongo Chris Kope Mutshimba Mugalu dakika ya 68 na 78 na kipa Saidu Hamisu aliyejifunga dakika ya 84 katika harakati za kuokoa. Sifa zimuendee winga Mghana, Bernard Morrison aliyeseti mabao mawili ya kwanza baada ya dakika 45 ngumu za kipindi cha kwanza. Simba inamaliza na pointi 10, sawa na RSB Berkane wakilingana hadi wastani wa mabao na zote zinakwenda Nane Bora zikizipiku ASEC Mimosas ya Ivory Coast iliyomaliza na pointi tisa na Gendamarie pointi tano. RSB Berkane wamefuzu baada ya ushindi wa nyumbani wa 1-0 dhidi ya ASEC leo Uwanja wa Manispaa y Berkane nchini Morocco. Timu nyingine zilizokwenda Robo Fainali ni Al Ahli Tripoli ya Libya na Pyramids ya Misri kutoka Kundi A, Orlando Pirates ya Afrika Kusini na Al-Ittihad ya Libya Kundi B, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Al Masry ya Misri Kundi C. Droo ya Robo Fainali itapangw Aprili 5, mwaka huu makao makuu ya Shirikisho (CAF), Jijini Cairo, nchini Misri. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom