Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SERIKALI YAIPONGEZA SIMBA SC KUTINGA ROBO FAINALI

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ameipongeza Simba SC kwa kufuzu Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibamiza US Gendarmerie ya Niger mabao 4-0 usiku wa jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mchengerwa ametoa pongezi hizo muda mfupi baada ya kumalizika kwa mpambano huo ambapo amesema ushindi huo ni ushindi wa kihistoria.

"Ninaipongeza Timu ya Simba kwa ushindi wa kishindo kuelekea kwenye Robo Fainali ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika. Kama Taifa, tunajivunia kwa ushindi huo mnono unaoitangaza Nchi yetu kimataifa." Amefafanua Mhe. Mchengerwa

Ameitaka Timu ya Simba kufanya maandalizi ya kutosha ili kuweza kufanya vizuri zaidi katika mashindano hayo hatimaye kuchukua kombe na kuendelea kuitangaza Tanzania duniani.

Simba kwenye michuano ya robo fainali inaweza kukutana na TP Mazembe(DR Congo), Orlando Pirates ( Afrika Kusini) na Al Ahly Tripoli (Libya).

Ukiachilia timu hizi nne(4) timu nyingine nne(4) ambazo zimefuzu kuingia robo fainali ya mashindano haya ni pamoja na RS Berkane (Morocco), Pyramids (Misri), Al-Ittihad (Libya) na Al Masry Misri.

Simba inatarajiwa kuanzia nyumbani Uwanja wa Mkapa

[QUOTE="Amir, post: 1362, member: 20"] [HEADING=2]SERIKALI YAIPONGEZA SIMBA SC KUTINGA ROBO FAINALI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPQlYa73TFG2WsPoZK06WL9j5bdxb5vAC8qJLIw0iCG-z-j-m7ruuwX-nW6K6VHGBdsi-KrsrHfy2C6aP2clj2PyFOTpU0wO_lTmsJqqqGWm1sQHKf3ABOU6K-eKG7W_nBmoAVm8kFXsu9LRdYh7aN58TIwVyVCc6gUSI3pjswQoeZ-2Y_1mV3ON7A/s1242/IMG-6821.jpg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPQlYa73TFG2WsPoZK06WL9j5bdxb5vAC8qJLIw0iCG-z-j-m7ruuwX-nW6K6VHGBdsi-KrsrHfy2C6aP2clj2PyFOTpU0wO_lTmsJqqqGWm1sQHKf3ABOU6K-eKG7W_nBmoAVm8kFXsu9LRdYh7aN58TIwVyVCc6gUSI3pjswQoeZ-2Y_1mV3ON7A/w640-h414/IMG-6821.jpg[/IMG][/URL] WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ameipongeza Simba SC kwa kufuzu Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibamiza US Gendarmerie ya Niger mabao 4-0 usiku wa jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mchengerwa ametoa pongezi hizo muda mfupi baada ya kumalizika kwa mpambano huo ambapo amesema ushindi huo ni ushindi wa kihistoria. "Ninaipongeza Timu ya Simba kwa ushindi wa kishindo kuelekea kwenye Robo Fainali ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika. Kama Taifa, tunajivunia kwa ushindi huo mnono unaoitangaza Nchi yetu kimataifa." Amefafanua Mhe. Mchengerwa Ameitaka Timu ya Simba kufanya maandalizi ya kutosha ili kuweza kufanya vizuri zaidi katika mashindano hayo hatimaye kuchukua kombe na kuendelea kuitangaza Tanzania duniani. Simba kwenye michuano ya robo fainali inaweza kukutana na TP Mazembe(DR Congo), Orlando Pirates ( Afrika Kusini) na Al Ahly Tripoli (Libya). Ukiachilia timu hizi nne(4) timu nyingine nne(4) ambazo zimefuzu kuingia robo fainali ya mashindano haya ni pamoja na RS Berkane (Morocco), Pyramids (Misri), Al-Ittihad (Libya) na Al Masry Misri. Simba inatarajiwa kuanzia nyumbani Uwanja wa Mkapa [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom