Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MKWAKWANI

MABINGWA watetezi, Simba SC wamepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Mabao ya Simba SC yamefungwa na winga Mghana, Bernard Morrison dakika ya 40 na mshambuliaji Mnyarwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 90 na ushei, wakati la Coastal Union limefungwa na mshambuliaji Mnigeria, Victor Patrick Akpan dakika ya 78.

Simba inafikisha pointi 40 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 18, ingawa inabaki nafasi ya pili ilizidiwa pointi 11 na watani, Yanga ambao pia wamecheza mechi moja zaidi.

Coastal Union baada ya ya kichapo cha leo inabaki na pointi zake 21 za mechi 19 nafasi ya 12.

[QUOTE="Amir, post: 1374, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MKWAKWANI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsLFD6l5XHNcbZC0Nfc3VOOvwZt0Xi_ihLq9JEwFbtv3bqO1itriYWbZPib0Apb6apc5OEEuNcCm5-FOoEuS3FfU7VS310w9Lk1wMxWmepKmLV_HQzY_fodidWSDpuCuvg4NvzOA9Ql4YqcZiRn00LbjFZG2xT5t1v4GV_U7PP_033rO9Z0NMop6Ca/s1242/2D426084-AEDD-4CDD-949E-06B3F169392B.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsLFD6l5XHNcbZC0Nfc3VOOvwZt0Xi_ihLq9JEwFbtv3bqO1itriYWbZPib0Apb6apc5OEEuNcCm5-FOoEuS3FfU7VS310w9Lk1wMxWmepKmLV_HQzY_fodidWSDpuCuvg4NvzOA9Ql4YqcZiRn00LbjFZG2xT5t1v4GV_U7PP_033rO9Z0NMop6Ca/w640-h412/2D426084-AEDD-4CDD-949E-06B3F169392B.jpeg[/IMG][/URL] MABINGWA watetezi, Simba SC wamepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Mabao ya Simba SC yamefungwa na winga Mghana, Bernard Morrison dakika ya 40 na mshambuliaji Mnyarwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 90 na ushei, wakati la Coastal Union limefungwa na mshambuliaji Mnigeria, Victor Patrick Akpan dakika ya 78. Simba inafikisha pointi 40 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 18, ingawa inabaki nafasi ya pili ilizidiwa pointi 11 na watani, Yanga ambao pia wamecheza mechi moja zaidi. Coastal Union baada ya ya kichapo cha leo inabaki na pointi zake 21 za mechi 19 nafasi ya 12. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom