Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sakata la Morrison Kuzuiwa Kuingia Nchini Afrika Kusini, Barbara Atamka Neno

TAARIFA zilizothibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Soka ya Simba Barbara Gonzalez ni kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha kuingia nchini humo.

Morrison kabla ya kujiunga na vilabu vya Yanga na Simba tayari alishawahi kufanya kazi nchini Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates na aliondoka klabuni hapo kutokana na matatizo ya utovu wa nidhamu.

Pamoja na Morrison kutohusika katika mchezo huo wa marudiano hiyo haijashusha hamasa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez baada ya kudai kuwa Morrison atamaliza mchezo kwenye ardhi ya Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika imetangazwa hapo jana ambapo Klabu ya Soka ya Simba ya nchini Tanzania imepangwa kumenyana na Klabu ya soka ya Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini.

Mchezo wa kwanza wa hatua hiyo ya mtoano unatarajiwa kuanza nchini Tanzania katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ambapo wenyeji Simba wataikaribisha Orlando Pirates Aprili 17, wiki moja baadaye Orlando Pirates watakuwa wenyeji wa Simba katika dimba la Orlando Stadium jijini Johannesburg.

[QUOTE="Amir, post: 1382, member: 20"] [HEADING=1]Sakata la Morrison Kuzuiwa Kuingia Nchini Afrika Kusini, Barbara Atamka Neno[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/BERNARD-MORRISON.jpg[/IMG] TAARIFA zilizothibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Soka ya Simba Barbara Gonzalez ni kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha kuingia nchini humo. Morrison kabla ya kujiunga na vilabu vya Yanga na Simba tayari alishawahi kufanya kazi nchini Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates na aliondoka klabuni hapo kutokana na matatizo ya utovu wa nidhamu. Pamoja na Morrison kutohusika katika mchezo huo wa marudiano hiyo haijashusha hamasa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez baada ya kudai kuwa Morrison atamaliza mchezo kwenye ardhi ya Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/barbara.jpg[/IMG] Droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika imetangazwa hapo jana ambapo Klabu ya Soka ya Simba ya nchini Tanzania imepangwa kumenyana na Klabu ya soka ya Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini. Mchezo wa kwanza wa hatua hiyo ya mtoano unatarajiwa kuanza nchini Tanzania katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ambapo wenyeji Simba wataikaribisha Orlando Pirates Aprili 17, wiki moja baadaye Orlando Pirates watakuwa wenyeji wa Simba katika dimba la Orlando Stadium jijini Johannesburg. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom