Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE NA POLISI 0-0 MOSHI

MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na wenyeji, Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Kwa sare hiyo inayoiongezea kila timu pointi moja, Simba inafikisha pointi 41 na wanabaki nafasi ya pili, wakizidiwa pointi 10 na watani wao wa jadi, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi 19.

Polisi Tanzania inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 19 pia na kusogea kwa nafasi moja hadi ya nane.

[QUOTE="Amir, post: 1385, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE NA POLISI 0-0 MOSHI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsr7DD-cKZAzNTAxeQRBS8PlNKTL_Q0x6-G9IvzxiMuWFQZeKi5XGvoobPnHDPr_zf_ND5LRT4dmBb4A2ug7_3Rq7kTly0jad4QWdw08Oz2vFz_Pl0YQD4Z4BEd28IOyMJbhzi306ZYZ-6YJvR23URajJWiqAEvFuBP7SLZTt0peJtMV_mB7LBO1e3/s1242/058E6325-DA78-4366-A67B-A646347FD8B0.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsr7DD-cKZAzNTAxeQRBS8PlNKTL_Q0x6-G9IvzxiMuWFQZeKi5XGvoobPnHDPr_zf_ND5LRT4dmBb4A2ug7_3Rq7kTly0jad4QWdw08Oz2vFz_Pl0YQD4Z4BEd28IOyMJbhzi306ZYZ-6YJvR23URajJWiqAEvFuBP7SLZTt0peJtMV_mB7LBO1e3/w640-h416/058E6325-DA78-4366-A67B-A646347FD8B0.jpeg[/IMG][/URL] MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na wenyeji, Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Kwa sare hiyo inayoiongezea kila timu pointi moja, Simba inafikisha pointi 41 na wanabaki nafasi ya pili, wakizidiwa pointi 10 na watani wao wa jadi, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi 19. Polisi Tanzania inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 19 pia na kusogea kwa nafasi moja hadi ya nane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom