Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yapiga Marufuku Mashabiki Kupiga Tochi Mechi dhidi ya Orlando Pirates

April 11, 2022 by cshechambo

Shabiki wa klabu ya Simba akimulika tochi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN uwanja wa Benjamin Mkapa.

UONGOZI wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani.

Simba SC imepiga marufuku Tochi hizo, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates utakaopigwa Jumapili (April 17), Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es salaam.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema Mashabiki wa Simba SC wanapaswa kuacha mpango wa kuingia na Tochi hizo, ili kuinusuru klabu yao kutozwa faini na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’.

“Mchezo wetu uliopita dhidi ya USGN, baadhi ya Mashabiki waliingia Uwanjani na hizi Tochi licha ya kupiga marufuku, Simba kama taasisi na kama klabu hatupendezwi na utamaduni huu, ambao sio utamaduni wetu,”

“Simba SC ina utamaduni wake, sio huu ambao baadhi ya wenzetu waliuchagua katika mchezo uliopita, tunawaomba sana Wanasimba wote huu mpango wa kuja na Tochi uachwe mara moja, ili kuinusuru klabu yetu kuingia kwenye kadhia ya kutozwa faini na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’. Amesema Ahmed Ally alipozungumza na Waandishi wa Habari leo Jumatatu (April 11).

Simba SC ilitinga Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika ‘CAF’ kwa kishindo, kufuatia kisago kilichoishukia USGN ya Niger cha 4-0 Jumapili (April 03), Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

Simba SC ilimaliza nafasi ya pili kwenye Kundi D ikiwa na alama 10 sawa na RS Berkane ya Morocco, huku ASEC Mimosas ya Ivory Coast na USGN ya Niger zikitupwa nje ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika

[QUOTE="mhariri, post: 1412, member: 122"] [HEADING=1]Simba Yapiga Marufuku Mashabiki Kupiga Tochi Mechi dhidi ya Orlando Pirates[/HEADING] April 11, 2022 by [URL='https://globalpublishers.co.tz/simba-yapiga-marufuku-mashabiki-kupiga-tochi-mechi-dhidi-ya-orlando-pirates/#']cshechambo[/URL] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/WhatsApp-Image-2022-04-11-at-4.21.14-PM.jpg[/IMG] [I][B]Shabiki wa klabu ya Simba akimulika tochi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN uwanja wa Benjamin Mkapa.[/B][/I] UONGOZI wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani. Simba SC imepiga marufuku Tochi hizo, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates utakaopigwa Jumapili (April 17), Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es salaam. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema Mashabiki wa Simba SC wanapaswa kuacha mpango wa kuingia na Tochi hizo, ili kuinusuru klabu yao kutozwa faini na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’. “Mchezo wetu uliopita dhidi ya USGN, baadhi ya Mashabiki waliingia Uwanjani na hizi Tochi licha ya kupiga marufuku, Simba kama taasisi na kama klabu hatupendezwi na utamaduni huu, ambao sio utamaduni wetu,” “Simba SC ina utamaduni wake, sio huu ambao baadhi ya wenzetu waliuchagua katika mchezo uliopita, tunawaomba sana Wanasimba wote huu mpango wa kuja na Tochi uachwe mara moja, ili kuinusuru klabu yetu kuingia kwenye kadhia ya kutozwa faini na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’. Amesema Ahmed Ally alipozungumza na Waandishi wa Habari leo Jumatatu (April 11). Simba SC ilitinga Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika ‘CAF’ kwa kishindo, kufuatia kisago kilichoishukia USGN ya Niger cha 4-0 Jumapili (April 03), Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Simba SC ilimaliza nafasi ya pili kwenye Kundi D ikiwa na alama 10 sawa na RS Berkane ya Morocco, huku ASEC Mimosas ya Ivory Coast na USGN ya Niger zikitupwa nje ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom