Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YAFA KIUME, YATOLEWA KWA MATUTA SAUZI

KWA mara nyingine tena, safari ya Simba katika michuano ya Afrika imeishia kwenye Robo Fainali baada ya kutolewa na Orlando Pirates katika Kombe la Shirikisho leo kwa penalti 4-3.

Orlando Pirates walimaliza dakika 90 wakishinda 1-0 Uwanja wa Orlando Jijini Johannesburg, Afrika Kusini, bao la Peprah Kwame dakika ya 60 kwa kichwa, hivyo kufanya sare ya jumla ya 1-1 baada ya Simba kushinda 1-0 kwenye mechi ya kwanza ya Robo Fainali wiki iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwenye mikwaju ya penalti Jonás Mkude na Hennock Inonga Baka walikosa upande tea Simba, huku Shomari Kapombe, Meddie Kagere na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wakifunga.

Waliofunga penalti za Orlando Piratas ni Deon Hotto, Hellings ‘Gabadinho’ Mhango, Tshegofatso Mabasa na kipa Richard Ofori , huku ya Kabelo Dlamini ikiokolewa na kipa Aishi Manula.

[QUOTE="Amir, post: 1434, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC YAFA KIUME, YATOLEWA KWA MATUTA SAUZI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpJuPVDgrj854E0T8lSECkyT909WVvc7ML4TGi5vytc0Om-DQCTpCJ0Cqo9lSLm40b7dd_-wYywmLK73Xuw5Vhejsh8jRx1LLpI2K7YYg_7k4JcV2nD0BXSoj1tkF0mKoCDy1Umy4EK4iaQ3LWW0A0idC7snXicUh7haFzTno4vGlT0UawkFkA_g1F/s1242/431CAC8E-74FA-41A0-B3F3-5BF95482258A.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpJuPVDgrj854E0T8lSECkyT909WVvc7ML4TGi5vytc0Om-DQCTpCJ0Cqo9lSLm40b7dd_-wYywmLK73Xuw5Vhejsh8jRx1LLpI2K7YYg_7k4JcV2nD0BXSoj1tkF0mKoCDy1Umy4EK4iaQ3LWW0A0idC7snXicUh7haFzTno4vGlT0UawkFkA_g1F/w640-h426/431CAC8E-74FA-41A0-B3F3-5BF95482258A.jpeg[/IMG][/URL] KWA mara nyingine tena, safari ya Simba katika michuano ya Afrika imeishia kwenye Robo Fainali baada ya kutolewa na Orlando Pirates katika Kombe la Shirikisho leo kwa penalti 4-3. Orlando Pirates walimaliza dakika 90 wakishinda 1-0 Uwanja wa Orlando Jijini Johannesburg, Afrika Kusini, bao la Peprah Kwame dakika ya 60 kwa kichwa, hivyo kufanya sare ya jumla ya 1-1 baada ya Simba kushinda 1-0 kwenye mechi ya kwanza ya Robo Fainali wiki iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kwenye mikwaju ya penalti Jonás Mkude na Hennock Inonga Baka walikosa upande tea Simba, huku Shomari Kapombe, Meddie Kagere na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wakifunga. Waliofunga penalti za Orlando Piratas ni Deon Hotto, Hellings ‘Gabadinho’ Mhango, Tshegofatso Mabasa na kipa Richard Ofori , huku ya Kabelo Dlamini ikiokolewa na kipa Aishi Manula. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom