Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YAITANDIKA RUVU SHOOTING 4-1 DAR

MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba yamefungwa na Kibu Dennis dakika ya 39, Rally Bwalya dakika ya 66, Nahodha John Bocco dakika ya 81 na beki Inonga Baka ‘Varane’ dakika ya 85, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Haroun Athumani Chanongo akiiadhibu timu yake ya zamani dakika ya 83.

Simba inafikisha pointi 46, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi 10 na watani, Yanga baada ya wote kucheza mechi 22 kuelekea mechi nane za kukamilisha msimu.

Hali ni mbaya kwa Ruvu Shooting baada ya kupoteza mechi ya leo 22, wakilingana kila kitu na Tanzania Prisons hadi mechi za kucheza, 22 na wastani wa mabao, wote wamefungwa mabao 11 zaidi ya waliyofunga na wanashika nafasi za 14 na 15, wakiizidi pointi moja tu Mbeya Kwanza inayoshika mkia.

[QUOTE="vuligate, post: 1458, member: 123"] [HEADING=2]SIMBA SC YAITANDIKA RUVU SHOOTING 4-1 DAR[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilin28eCIJdKBGlkJ1toyzqx1q_an60clZ4p4cFAiirQUkzJ7gT49xCS3fCBLRCJD_u14t3_MLn48dB_OzbJ5m-G7rRdm2swPpH-SzeHCWPngv3uRCfna5n2fYi5hp5Nw0QgqviG7TFSISa88D0GmSOiAYQQEnO0QLPu4nEGpVS04d9SAY0SgoQjW8/s1242/8D28825B-E39B-4277-B520-C82BD85268AF.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilin28eCIJdKBGlkJ1toyzqx1q_an60clZ4p4cFAiirQUkzJ7gT49xCS3fCBLRCJD_u14t3_MLn48dB_OzbJ5m-G7rRdm2swPpH-SzeHCWPngv3uRCfna5n2fYi5hp5Nw0QgqviG7TFSISa88D0GmSOiAYQQEnO0QLPu4nEGpVS04d9SAY0SgoQjW8/w640-h408/8D28825B-E39B-4277-B520-C82BD85268AF.jpeg[/IMG][/URL] MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Kibu Dennis dakika ya 39, Rally Bwalya dakika ya 66, Nahodha John Bocco dakika ya 81 na beki Inonga Baka ‘Varane’ dakika ya 85, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Haroun Athumani Chanongo akiiadhibu timu yake ya zamani dakika ya 83. Simba inafikisha pointi 46, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi 10 na watani, Yanga baada ya wote kucheza mechi 22 kuelekea mechi nane za kukamilisha msimu. Hali ni mbaya kwa Ruvu Shooting baada ya kupoteza mechi ya leo 22, wakilingana kila kitu na Tanzania Prisons hadi mechi za kucheza, 22 na wastani wa mabao, wote wamefungwa mabao 11 zaidi ya waliyofunga na wanashika nafasi za 14 na 15, wakiizidi pointi moja tu Mbeya Kwanza inayoshika mkia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom