Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YAICHAPA KMC 3-1 BENJAMIN MKAPA

MABINGWA wa zamani, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

KMC walitangulia na bao la Hassan Kabunda dakika ya 41, kabla ya Simba kutoka nyuma kwa mabao ya Kibu Dennis dakika ya 51, Msenegal, Pape Sakho dakika ya 62 na beki Mkongo, Henock Inonga dakika ya 65.

Kwa ushindi huo, Simba inafikisha pointi 57, ingawa kushika nafasi ile ile, ya pili ikizidiwa pointi 10 na mabingwa tayari, Yanga baada ya wote kucheza mechi 27.

KMC baada ya kichapo hicho inabaki na pointi zake 32 za mechi 27 ikishukia nafasi ya 10 kutoka ya tisa.

[QUOTE="vuligate, post: 1514, member: 123"] [HEADING=2]SIMBA SC YAICHAPA KMC 3-1 BENJAMIN MKAPA [/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPkMJVY3i_HROZBkNSufsJkYvrQOtq5WdrErejl6AJ7mkjRZ29xurOPicpRi4rGXss9m8C9WRLjdJLnBVvP3yqaZX-hbpiAW7cvg1sreVbxqfvTZKSJKLObYpwaA5PguDx-4l3g4fgl0VO1GOvMVd4Xy3KpqyV9dKtS626TTPbUzBiND2O_YBefuC3/s1242/C1989B58-AFC7-4A2B-95AF-2ACF56B2FB3E.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPkMJVY3i_HROZBkNSufsJkYvrQOtq5WdrErejl6AJ7mkjRZ29xurOPicpRi4rGXss9m8C9WRLjdJLnBVvP3yqaZX-hbpiAW7cvg1sreVbxqfvTZKSJKLObYpwaA5PguDx-4l3g4fgl0VO1GOvMVd4Xy3KpqyV9dKtS626TTPbUzBiND2O_YBefuC3/w640-h424/C1989B58-AFC7-4A2B-95AF-2ACF56B2FB3E.jpeg[/IMG][/URL] MABINGWA wa zamani, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. KMC walitangulia na bao la Hassan Kabunda dakika ya 41, kabla ya Simba kutoka nyuma kwa mabao ya Kibu Dennis dakika ya 51, Msenegal, Pape Sakho dakika ya 62 na beki Mkongo, Henock Inonga dakika ya 65. Kwa ushindi huo, Simba inafikisha pointi 57, ingawa kushika nafasi ile ile, ya pili ikizidiwa pointi 10 na mabingwa tayari, Yanga baada ya wote kucheza mechi 27. KMC baada ya kichapo hicho inabaki na pointi zake 32 za mechi 27 ikishukia nafasi ya 10 kutoka ya tisa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom