Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA YAUNZA VYEMA 2022, YAIPIGA AZAM 2-1.

[ATTACH=full]122[/ATTACH]

MABINGWA watetezi, Simba SC wameuanza mwaka vyema mwaka 2022 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Baada ya dakika 45 kumalizika bila mabao huku kiungo Mzambia, Rally Bwalya akikosa penalti iliyopanguliwa na kipa Mzanzibari, Ahmed Ally Suleiman’Salula’ dakika ya 14 baada ya winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho kuchezewa rafu na kiungo Frank Raymond Domayo, milango ilifunguka kipindi cha pili.

Ni kiungo wa kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute aliyefunga bao la kwanza la Simba dakika ya 68, kabla y Sakho kufunga la pili dakika ya 72 na Azam FC ikapata bao lake pekee kupitia kwa mshambuliaji Rodgers Kola dakika ya 80.

Simba SC inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 10, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tano na watani wao, Yanga ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi, wakati Azam FC inabaki na pointi zake 15 za mechi 11 sasa katika nafasi ya saba.

[QUOTE="Amir, post: 238, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA YAUNZA VYEMA 2022, YAIPIGA AZAM 2-1.[/HEADING] [ATTACH type="full"]122[/ATTACH] MABINGWA watetezi, Simba SC wameuanza mwaka vyema mwaka 2022 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Baada ya dakika 45 kumalizika bila mabao huku kiungo Mzambia, Rally Bwalya akikosa penalti iliyopanguliwa na kipa Mzanzibari, Ahmed Ally Suleiman’Salula’ dakika ya 14 baada ya winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho kuchezewa rafu na kiungo Frank Raymond Domayo, milango ilifunguka kipindi cha pili. Ni kiungo wa kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute aliyefunga bao la kwanza la Simba dakika ya 68, kabla y Sakho kufunga la pili dakika ya 72 na Azam FC ikapata bao lake pekee kupitia kwa mshambuliaji Rodgers Kola dakika ya 80. Simba SC inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 10, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tano na watani wao, Yanga ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi, wakati Azam FC inabaki na pointi zake 15 za mechi 11 sasa katika nafasi ya saba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom