Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bocco: Tulieni, bado mawili

[ATTACH=full]306[/ATTACH]

NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema wamefungua mwaka vizuri kwa kutwaa taji la Mapinduzi wanatarajia kutetea mawili yaliyobaki.

Simba wametwaa taji hilo baada ya kumfunga Azam FC bao 1-0 iliwa ni fainali yao ya tatu kukutana na wao kuibuka na ubingwa baada ya kushindwa mara mbili.

Bocco anasema baada ya kushindwa kuwafunga ndani ya misimu miwili waliyokutana fainali walikuwa na mbinu nyingine kuhakikisha wanatwaa taji.

“Haikuwa rahisi lakini ubora na uzoefu umetubeba na kufanikisha hili tunaangalia mipango mingine ya mataji yaliyobaki kwa kuhakikisha tunayatetea,” anasema.

“Azam FC walicheza vizuri lakini hawakuwa bora kama tulivyokuwa bora kitu kilichosaidia sisi kupata matokeo ambayo yametupa taji la nne,” anasema na kuongeza kuwa;

“Habari za taji sasa tumelisahau tunaangalia namna ya kutetea taji la ligi kuu ambalo tumelitwaa mara nne mfululizo na tunaimani tunaweza kutokana na matarajio na morali kwa wachezaji,” anasema.

[QUOTE="Amir, post: 394, member: 20"] Bocco: Tulieni, bado mawili [ATTACH type="full"]306[/ATTACH] NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema wamefungua mwaka vizuri kwa kutwaa taji la Mapinduzi wanatarajia kutetea mawili yaliyobaki. Simba wametwaa taji hilo baada ya kumfunga Azam FC bao 1-0 iliwa ni fainali yao ya tatu kukutana na wao kuibuka na ubingwa baada ya kushindwa mara mbili. Bocco anasema baada ya kushindwa kuwafunga ndani ya misimu miwili waliyokutana fainali walikuwa na mbinu nyingine kuhakikisha wanatwaa taji. “Haikuwa rahisi lakini ubora na uzoefu umetubeba na kufanikisha hili tunaangalia mipango mingine ya mataji yaliyobaki kwa kuhakikisha tunayatetea,” anasema. “Azam FC walicheza vizuri lakini hawakuwa bora kama tulivyokuwa bora kitu kilichosaidia sisi kupata matokeo ambayo yametupa taji la nne,” anasema na kuongeza kuwa; “Habari za taji sasa tumelisahau tunaangalia namna ya kutetea taji la ligi kuu ambalo tumelitwaa mara nne mfululizo na tunaimani tunaweza kutokana na matarajio na morali kwa wachezaji,” anasema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom