Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Lwanga Yuko Fiti, Kurejea Soon.

Baada ya mwishoni mwa mwaka jana taarifa kusambaa kuwa Klabu ya Simba ina mpango wa kuvunja Mkataba wake na Kiungo Mganda Taddeo Lwanga baada ya kupata majeraha na taarifa zilidai atakaa nje kwa muda mrefu.

Sasa ukweli ni kwamba kiungo huyo mkata umeme, anarejea Uwanjani mwishoni mwa Januari hii kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Wekundu wa Msimbazi, Ahmed Ally.

“Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally.

Urejeo wa Lwanga ni faida kubwa kwa Simba ambayo ratiba yake ni ngumu kwa miezi miwili ya hivi karibuni, wakiwa na mfululizo wa mechi nyingi katika muda mfupi.

Hivyo urejeo wa Kiungo huyo utatoa nafasi kwa Mwalimu Pablo kuwa na machaguo mengi uwanjani, na kufanya mabadiliko ya wachezaji hivyo kuwaepusha nyota wake na uchovu.

[QUOTE="Amir, post: 458, member: 20"] [HEADING=1]Lwanga Yuko Fiti, Kurejea Soon.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/20210925_233726.webp[/IMG] Baada ya mwishoni mwa mwaka jana taarifa kusambaa kuwa Klabu ya Simba ina mpango wa kuvunja Mkataba wake na Kiungo Mganda Taddeo Lwanga baada ya kupata majeraha na taarifa zilidai atakaa nje kwa muda mrefu. Sasa ukweli ni kwamba kiungo huyo mkata umeme, anarejea Uwanjani mwishoni mwa Januari hii kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Wekundu wa Msimbazi, Ahmed Ally. “Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally. Urejeo wa Lwanga ni faida kubwa kwa Simba ambayo ratiba yake ni ngumu kwa miezi miwili ya hivi karibuni, wakiwa na mfululizo wa mechi nyingi katika muda mfupi. Hivyo urejeo wa Kiungo huyo utatoa nafasi kwa Mwalimu Pablo kuwa na machaguo mengi uwanjani, na kufanya mabadiliko ya wachezaji hivyo kuwaepusha nyota wake na uchovu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom