Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ahmed: Yanga Wanatamani Kuwa na Mtu Kama Mimi.

OFISA Menaja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema klabu ya Yanga wanatamani kuwa na mtu kama yeye ndio maana alipochukuliwa na Simba wakaanza kufukua mafaili yake ikiwemo picha alizopiga na Yanga.

Ahmed amesema hayo jana, Jumatano, Januari 19, 2022 wakati akifanya mahojiano na Kituo cha Radio cha WASAFI FM jijini Dar es Salaam.

“Yanga wanatamani kuwa na mtu kama mimi, ndiyo maana baada ya uteuzi wangu wakawa wanahaha kuanza kutafuta mafaili kuonyesha kwamba huyo pia ni Yanga, hii ni ishara kwamba hata wao wanatamani kuwa na mtu kama mimi.

“Angeteuliwa hafisa habari wa kawaida kawaida pale simba, wasingehangaika kufukua mafaili, wasinge hangaika kutafuta taarifa zangu, lakini kwa kuwa nimeteuliwa mimi ambaye wananipenda, wananihitaji niwe pale kwao ndio maana wakaanza kuhangaika,” amesema Ahmed Ally.

[QUOTE="Amir, post: 459, member: 20"] [HEADING=1]Ahmed: Yanga Wanatamani Kuwa na Mtu Kama Mimi.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/ahmed-ally.jpeg[/IMG] OFISA Menaja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, [B]Ahmed Ally[/B] amesema klabu ya Yanga wanatamani kuwa na mtu kama yeye ndio maana alipochukuliwa na Simba wakaanza kufukua mafaili yake ikiwemo picha alizopiga na Yanga. Ahmed amesema hayo jana, Jumatano, Januari 19, 2022 wakati akifanya mahojiano na Kituo cha Radio cha [B]WASAFI FM[/B] jijini[B] Dar es Salaam.[/B] [I]“Yanga wanatamani kuwa na mtu kama mimi, ndiyo maana baada ya uteuzi wangu wakawa wanahaha kuanza kutafuta mafaili kuonyesha kwamba huyo pia ni Yanga, hii ni ishara kwamba hata wao wanatamani kuwa na mtu kama mimi. “Angeteuliwa hafisa habari wa kawaida kawaida pale simba, wasingehangaika kufukua mafaili, wasinge hangaika kutafuta taarifa zangu, lakini kwa kuwa nimeteuliwa mimi ambaye wananipenda, wananihitaji niwe pale kwao ndio maana wakaanza kuhangaika,”[/I] amesema Ahmed Ally. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom