Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chama Aanza Vibaya Simba.

MARA baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wa Ligi Kuu Bara kupulizwa, haraka mabosi wa Simba walifanya kikao cha dharura na benchi la ufundi la timu hiyo na wachezaji wote.

Hiyo ikiwa saa chache mara baada ya timu hiyo kutoka kufungwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi uliopigwa juzi Jumanne kwenye Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Kikao hicho kiliwashirikisha wachezaji wote akiwemo kiungo mpya wa timu hiyo, Mzambia Clatous Chama

aliyejiunga na timu hiyo wikiendi hii.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo, viongozi wa timu hiyo waliitisha kikao hicho cha dharura kwa ajili ya kufanya tathimini ya mchezo wao dhidi ya Mbeya City.

Chanzo hichokilisema kuwa kikao hicho kilifanyika saa mbili usiku kabla ya chakula cha usiku huko Mbeya ambako mchezo huo ulipigwa. Kiliongeza kuwa mabosi wa timu hiyo waliwataka wachezaji hao kupambana katika michezo inayofuatia ili kuhakikisha wanapata ushindi utakaowawezesha kutetea taji lao la ubingwa wa ligi.

“Unaambiwa mara baada ya timu kupoteza mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City, uongozi wa timu hiyo uliokuwepo katika msafara, ulilazimika kukaa kikao cha dharura na wachezaji na benchi la ufundi.

“Kikubwa ni kuwaelekeza juu ya hatima ya matokeo hayo huku wakimtaka kocha kuhakikisha anasoma alama za nyakati kabla ya mchezo husika.

“Kikao hicho kilimtaka kocha huyo kujieleza na kutoa sababu ya kupoteza mchezo huo ambao ulikuwa ni muhimu kupata ushindi ili kuwaondoa kileleni wapinzani wao Yanga,” kilisema chanzo hicho.

Alipotafutwa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Barbara Gonzalez kuzungumzia hilo, kama kawaida yake simu yake ya mkononi iliita bila ya mafanikio kupokelewa.

[QUOTE="Amir, post: 462, member: 20"] [HEADING=1]Chama Aanza Vibaya Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-10-1.jpg[/IMG] MARA baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wa Ligi Kuu Bara kupulizwa, haraka mabosi wa Simba walifanya kikao cha dharura na benchi la ufundi la timu hiyo na wachezaji wote. Hiyo ikiwa saa chache mara baada ya timu hiyo kutoka kufungwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi uliopigwa juzi Jumanne kwenye Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya. Kikao hicho kiliwashirikisha wachezaji wote akiwemo kiungo mpya wa timu hiyo, Mzambia Clatous Chama aliyejiunga na timu hiyo wikiendi hii. Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo, viongozi wa timu hiyo waliitisha kikao hicho cha dharura kwa ajili ya kufanya tathimini ya mchezo wao dhidi ya Mbeya City. Chanzo hichokilisema kuwa kikao hicho kilifanyika saa mbili usiku kabla ya chakula cha usiku huko Mbeya ambako mchezo huo ulipigwa. Kiliongeza kuwa mabosi wa timu hiyo waliwataka wachezaji hao kupambana katika michezo inayofuatia ili kuhakikisha wanapata ushindi utakaowawezesha kutetea taji lao la ubingwa wa ligi.[IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-9-1.jpg[/IMG] “Unaambiwa mara baada ya timu kupoteza mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City, uongozi wa timu hiyo uliokuwepo katika msafara, ulilazimika kukaa kikao cha dharura na wachezaji na benchi la ufundi. “Kikubwa ni kuwaelekeza juu ya hatima ya matokeo hayo huku wakimtaka kocha kuhakikisha anasoma alama za nyakati kabla ya mchezo husika. “Kikao hicho kilimtaka kocha huyo kujieleza na kutoa sababu ya kupoteza mchezo huo ambao ulikuwa ni muhimu kupata ushindi ili kuwaondoa kileleni wapinzani wao Yanga,” kilisema chanzo hicho. Alipotafutwa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Barbara Gonzalez kuzungumzia hilo, kama kawaida yake simu yake ya mkononi iliita bila ya mafanikio kupokelewa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom