Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tatizo la Bocco Limepata Dawa.

IWAFIKIE mashabiki wa Simba kwamba tatizo la nahodha wa Simba kuwa kwenye kipindi kigumu cha kushindwa kufunga wala kutoa pasi ya bao kwenye ligi kwa msimu wa 2021/22 limepata dawa baada ya mshikaji wake Clatous Chama kurejea.

Chama alikuwa na maelewano mazuri na Bocco kabla ya kusepa msimu wa 2021/22 ambapo kwenye pasi mbili ambazo alitengeneza Bocco kwenye ligi mtu wa kwanza kuitumia na kujaza mpira kimiani alikuwa ni Chama.

Bocco alifanya hivyo msimu wa 2021/22 wakati Simba iliposhinda mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania na washkaji wote wawili walitokea benchi na kuweza kuipa pointi tatu timu ya Simba zama za Sven Vandenbroeck.

Kwa sasa Bocco ambaye anapambania tuzo yake ya ufungaji bora ambapo alifunga mabao 16 msimu uliopita bado hajafunga bao wala kutoa pasi na kinara wa kucheka na nyavu ni Fiston Mayele mwenye mabao sita na pasi moja ya bao.

Leo Bocco anatimiza siku ya 187 bila kufunga bao kwenye mechi za ligi na mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa ni Julai 18,2021 alipofunga mbele ya Namuno FC.

[QUOTE="Amir, post: 479, member: 20"] [HEADING=1]Tatizo la Bocco Limepata Dawa.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/07/simba-bocco-pic-data.jpg[/IMG] IWAFIKIE mashabiki wa Simba kwamba tatizo la nahodha wa Simba kuwa kwenye kipindi kigumu cha kushindwa kufunga wala kutoa pasi ya bao kwenye ligi kwa msimu wa 2021/22 limepata dawa baada ya mshikaji wake Clatous Chama kurejea. Chama alikuwa na maelewano mazuri na Bocco kabla ya kusepa msimu wa 2021/22 ambapo kwenye pasi mbili ambazo alitengeneza Bocco kwenye ligi mtu wa kwanza kuitumia na kujaza mpira kimiani alikuwa ni Chama. Bocco alifanya hivyo msimu wa 2021/22 wakati Simba iliposhinda mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania na washkaji wote wawili walitokea benchi na kuweza kuipa pointi tatu timu ya Simba zama za Sven Vandenbroeck. Kwa sasa Bocco ambaye anapambania tuzo yake ya ufungaji bora ambapo alifunga mabao 16 msimu uliopita bado hajafunga bao wala kutoa pasi na kinara wa kucheka na nyavu ni Fiston Mayele mwenye mabao sita na pasi moja ya bao. Leo Bocco anatimiza siku ya 187 bila kufunga bao kwenye mechi za ligi na mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa ni Julai 18,2021 alipofunga mbele ya Namuno FC. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom