Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mzungu wa Simba Awafungia Kazi Mtibwa.

BAADA ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba juzi kiliingia kambini tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Mtibwa.

Timu hizo zinatarajiwa kuvaana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara leo Jumamosi saa kumi kamili kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro.

Katika mchezo huo, Simba wataingia uwanjani wakiwa na hasira za kutoka kufungwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City.

Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania Franco Pablo, alitoa mapumziko ya siku ya Jumanne pekee mara baada ya kurejea jijini Dar es Salaam wakitokea Mbeya.

Pablo alisema kuwa kikosi chake chote kiliingia mazoezini juzi Jumatano na kufanya mazoezi jioni kwenye Uwanja wa Simba Mo Arena, Bunju Dar katika kuiandaa timu yake.

Aliongeza kuwa, atakuwa na siku mbili za kukamilisha maandalizi yake juzi Jumatano na jana Alhamisi, kabla ya kuelekea Turiani tayari kwa mchezo huo unaotarajiwa kujaa upinzani mkubwa.

“Ninauchukulia umuhimu mkubwa mchezo wetu huu wa ligi tutakaocheza dhidi ya Mtibwa Sugar wikiendi hii.

“Jana (juzi) wachezaji wote waliingia kambini tayari kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Mtibwa ambao ni muhimu kwetu kupata ushindi.

“Hatutaki kupoteza mchezo huu, nimepata taarifa za mazingira ya uwanja tutakaoutumia, hivyo tutaingia katika mchezo huu kwa tahadhari kubwa,” alisema Pablo.

[QUOTE="vuligate, post: 491, member: 123"] [HEADING=1]Mzungu wa Simba Awafungia Kazi Mtibwa.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-9-1.jpg[/IMG] BAADA ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba juzi kiliingia kambini tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Mtibwa. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara leo Jumamosi saa kumi kamili kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro. Katika mchezo huo, Simba wataingia uwanjani wakiwa na hasira za kutoka kufungwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City. Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania Franco Pablo, alitoa mapumziko ya siku ya Jumanne pekee mara baada ya kurejea jijini Dar es Salaam wakitokea Mbeya. Pablo alisema kuwa kikosi chake chote kiliingia mazoezini juzi Jumatano na kufanya mazoezi jioni kwenye Uwanja wa Simba Mo Arena, Bunju Dar katika kuiandaa timu yake. Aliongeza kuwa, atakuwa na siku mbili za kukamilisha maandalizi yake juzi Jumatano na jana Alhamisi, kabla ya kuelekea Turiani tayari kwa mchezo huo unaotarajiwa kujaa upinzani mkubwa. “Ninauchukulia umuhimu mkubwa mchezo wetu huu wa ligi tutakaocheza dhidi ya Mtibwa Sugar wikiendi hii. “Jana (juzi) wachezaji wote waliingia kambini tayari kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Mtibwa ambao ni muhimu kwetu kupata ushindi. “Hatutaki kupoteza mchezo huu, nimepata taarifa za mazingira ya uwanja tutakaoutumia, hivyo tutaingia katika mchezo huu kwa tahadhari kubwa,” alisema Pablo. [HEADING=1][/HEADING] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom