Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Afisa TFF Amshtaki CEO Simba Polisi.

AFISA wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF Jacqueline Kamwamu amemshataki Polisi Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez.

Mashtaka hayo yamefunguliwa katika kituo Kikuu Cha Polisi Jijini Dar Es Salaam.

Siku ya Alhamisi ya Januari 20, Barbara alipokea wito wa kufika kituoni hapo ambapo baada ya kufika aliwekwa ndani kwa saa nane kisha kusomewa shtaka lake.

Shtaka linalomkabili Barbara ni kutoa lugha isiyopendeza kwa Afisa wa TFF Jacqueline Kamwamu ambae alimzuia asiingie Uwanjani katika eneo la VIP na Watoto wadogo siku ya December 11 2021 katika mchezo kati ya Yanga na Simba.

[QUOTE="Amir, post: 524, member: 20"] [HEADING=1]Afisa TFF Amshtaki CEO Simba Polisi.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/bvrbvra_197814541_771402063550957_3631888453041136051_n.jpg[/IMG] AFISA wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF Jacqueline Kamwamu amemshataki Polisi Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez. Mashtaka hayo yamefunguliwa katika kituo Kikuu Cha Polisi Jijini Dar Es Salaam. Siku ya Alhamisi ya Januari 20, Barbara alipokea wito wa kufika kituoni hapo ambapo baada ya kufika aliwekwa ndani kwa saa nane kisha kusomewa shtaka lake. Shtaka linalomkabili Barbara ni kutoa lugha isiyopendeza kwa Afisa wa TFF Jacqueline Kamwamu ambae alimzuia asiingie Uwanjani katika eneo la VIP na Watoto wadogo siku ya December 11 2021 katika mchezo kati ya Yanga na Simba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom