Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TFF Yakana Kumfungulia Mashtaka Barbara.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF limekana kumfungulia mashataka Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez.

Mapema siku ya leo kumeibuka taarifa zilizokuwa zikidai Shirikisho hilo limemfungulia Mashtaka Barbara Gonzalez kwa kitendo cha kutoa lugha Chafu wakati wa mchezo wa Simba na Yanga Disemba 11 mwaka jana, baada ya kuzuiliwa kuingia eneo la VVIP na watoto ambao kiutaratibu hawaruhusiwi.

Taarifa sahihi ni Afisa wa TFF aliyefhamaika kama Jacqueline Kamwamu, ndie aliekwenda kufungua shauri hilo kituo cha Polisi.

Tazama hapa chini sehemu ya Taarifa ya TFF wakitoa ufafanuzu.

[QUOTE="Amir, post: 525, member: 20"] [HEADING=1]TFF Yakana Kumfungulia Mashtaka Barbara.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/bvrbvra_245534676_895030654768265_2654446010686184596_n.jpg[/IMG] Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF limekana kumfungulia mashataka Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez. Mapema siku ya leo kumeibuka taarifa zilizokuwa zikidai Shirikisho hilo limemfungulia Mashtaka Barbara Gonzalez kwa kitendo cha kutoa lugha Chafu wakati wa mchezo wa Simba na Yanga Disemba 11 mwaka jana, baada ya kuzuiliwa kuingia eneo la VVIP na watoto ambao kiutaratibu hawaruhusiwi. Taarifa sahihi ni Afisa wa TFF aliyefhamaika kama Jacqueline Kamwamu, ndie aliekwenda kufungua shauri hilo kituo cha Polisi. Tazama hapa chini sehemu ya Taarifa ya TFF wakitoa ufafanuzu. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/tff.jpeg[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom