Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bosi Simba: Yanga Ubingwa Bado.

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’, amesema kuwa licha ya kushindwa kupata ushindi katika michezo miwili mfululizo ya ligi, bado anaamini kuwa wana nafasi ya kuwa mabingwa na kuwapiku wapinzani wao ambao kwa sasa ndio vinara wa ligi kuu, Yanga.

Simba imeshindwa kupata matokeo ya ushindi katika michezomiwili mfululizo dhidi ya Mbeya City ambapo walifungwa bao 1-0 jijini Mbeya kisha kutoa sare katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani, juzi Jumamosi.

Akizungumza na Championi Jumatatu, kiongozi huyo alisema kuwa licha ya kupoteza pointi muhimu katika michezo yao miwili iliyopita, bado wanayo nafasi kubwa ya kuutetea ubingwa wao kwani bado michezo ni mingi iliyopo mbele yao.

“Wanasimba hawatakiwi kukata tamaa kwa sasa kwani bado kuna michezo mingi ya kupambania ubingwa, kupoteza pointi au kushindwa kupata ushindi katika michezo miwili iliyopita siyo sababu ya sisi kusema kuwa msimu huu hatuwezi kutwaa ubingwa.

“Kwa sasa tunatakiwa kuangalia zaidi michezo yetu inayofuata na tuhakikishe kuwa tunakusanya pointi nyingi zaidi, jambo ambalo naamini litatusaidia kuweza kuutetea ubingwa wetu ambao naamini bado upo katika mikono yetu salama,” alisema kiongozi huyo.

[QUOTE="Amir, post: 553, member: 20"] [HEADING=1]Bosi Simba: Yanga Ubingwa Bado.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Try-Again-1.jpg[/IMG] MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’, amesema kuwa licha ya kushindwa kupata ushindi katika michezo miwili mfululizo ya ligi, bado anaamini kuwa wana nafasi ya kuwa mabingwa na kuwapiku wapinzani wao ambao kwa sasa ndio vinara wa ligi kuu, Yanga. Simba imeshindwa kupata matokeo ya ushindi katika michezomiwili mfululizo dhidi ya Mbeya City ambapo walifungwa bao 1-0 jijini Mbeya kisha kutoa sare katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani, juzi Jumamosi. Akizungumza na Championi Jumatatu, kiongozi huyo alisema kuwa licha ya kupoteza pointi muhimu katika michezo yao miwili iliyopita, bado wanayo nafasi kubwa ya kuutetea ubingwa wao kwani bado michezo ni mingi iliyopo mbele yao. “Wanasimba hawatakiwi kukata tamaa kwa sasa kwani bado kuna michezo mingi ya kupambania ubingwa, kupoteza pointi au kushindwa kupata ushindi katika michezo miwili iliyopita siyo sababu ya sisi kusema kuwa msimu huu hatuwezi kutwaa ubingwa. “Kwa sasa tunatakiwa kuangalia zaidi michezo yetu inayofuata na tuhakikishe kuwa tunakusanya pointi nyingi zaidi, jambo ambalo naamini litatusaidia kuweza kuutetea ubingwa wetu ambao naamini bado upo katika mikono yetu salama,” alisema kiongozi huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom