Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Pablo Aomba Radhi Mashabiki wa Simba,

KOCHA Mkuu wa Timu #Simba, Franco Pablo Martin amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia kichapo cha 1-0 dhidi ya Kagera Sugar.

Simba ilipoteza mchezo huo mkoani Kagera, jana Jumatano bao likifungwa na Khamis Kiiza ‘Diego’. Kocha Pablo amesema imekua bahati mbaya kwa kikosi chake kupoteza mchezo huo, hivyo hana budi kuomba radhi kwa kilichotokea Uwanja wa Kaitaba.

“Ni matokeo ya kusitikisha sana, hatukutarajia kwa sababu tulijiandaa kushinda, imeniuma sana kupoteza alama tatu hapa, niwateke radhi Mashabiki ambao walikua na matumaini na timu yao leo (jana),” amesema Pablo.

Simba imepoteza mechi mbili msimu huu na sare nne, hivyo kuwa nyuma kwa pointi 10 nyuma ya Yanga wanaoongoza Ligi Kuu Bara.

[QUOTE="Amir, post: 584, member: 20"] [HEADING=1]Kocha Pablo Aomba Radhi Mashabiki wa Simba,[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/simbasctanzania_272344526_425954759267238_8709367664503329365_n.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Timu #Simba, Franco Pablo Martin amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia kichapo cha 1-0 dhidi ya Kagera Sugar. Simba ilipoteza mchezo huo mkoani Kagera, jana Jumatano bao likifungwa na Khamis Kiiza ‘Diego’. Kocha Pablo amesema imekua bahati mbaya kwa kikosi chake kupoteza mchezo huo, hivyo hana budi kuomba radhi kwa kilichotokea Uwanja wa Kaitaba. “Ni matokeo ya kusitikisha sana, hatukutarajia kwa sababu tulijiandaa kushinda, imeniuma sana kupoteza alama tatu hapa, niwateke radhi Mashabiki ambao walikua na matumaini na timu yao leo (jana),” amesema Pablo. Simba imepoteza mechi mbili msimu huu na sare nne, hivyo kuwa nyuma kwa pointi 10 nyuma ya Yanga wanaoongoza Ligi Kuu Bara. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom