Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wafungaji Wanaoongoza kwa Mabao Simba Sc Msimu Huu.

Licha ya klabu ya Simba Sc kuanza vibaya msimu huu wa NBC Premier League, mshambuliaji wa klabu hiyo Meddie Kagere ameendelea kuweka rekodi zake ngumu ndani ya kikosi hicho kwa kufunga magoli mengi msimu huu.

Klabu ya Simba Sc mpaka sasa wamecheza jumla ya michezo 12 ya NBC Premier League (kabla ya mchezo wa Kagera Sugar Vs Simba Sc), katika michezo hiyo Meddie Kagere amefunga jumla ya magoli manne na ndiye kinara wa magoli msimu huu ndani ya kikosi cha Simba Sc.

Nafasi ya pili ya ufungaji bora ndani ya klabu ya Simba Sc inashikiliwa na mshambuliaji mpya wa timi hiyo Kibu Denis ambaye amejiunga na klabu ya Simba Sc akitokea katika klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya. Kibu Denis yeye amefanikiwa kufunga jumla ya magoli matatu kwenye michezo 12 ya klabu Simba Sc msimu huu.

Wachezaji wengine kama vile Mzamiru Yassin, Kanoute, Sakho, Mohammed Hussein, Peter Banda na Rally Bwalya wamefunga goli moja moja msimu huu.

Takiwimu hizi siyo siyo mbaya sana kwa msimu huu licha ya kwamba hazina uwihano mzuri na takwimu za msimu uliopita ambapo Simba Sc walikua na uwezo mkubwa wa kufunga magoli mengi wakiwa na washambuliaji wao hatari Chris Mugalu, Meddie Kagere, na Bocco ambao msimu huu wamekua na kiwango kibovu kwa kushindwa kufunga magoli mengi.

Simba Sc wanaendelea kurudi kwenye mfumo wao haswa baada ya kurejea kwa Clatus Chota Chama ambaye ametoka katika klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco siku chache zilizopita. Chama ni moja ya viungo bora ndani ya ligi hii ambapo tayari ameweka rekodi nyingi nzuri akiwa na Simba Sc misimu kadhaa iliyopita.

Endapo kama Chama ataendelea kucheza kwa kiwango chake kikubwa ni wazi kwamba washambuliaji wa klabu ya Simba Sc watakua kwenye nafasi ya kufunga magoli msimu huu kutokana na ukweli kwamba kiungo huyu anaweza kutengeneza nafasi nyingi za magoli akiwa katika eneo la ushambuliaji.

[QUOTE="Amir, post: 602, member: 20"] [HEADING=1]Wafungaji Wanaoongoza kwa Mabao Simba Sc Msimu Huu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/john-bocco-and-meddie-kagere.jpg[/IMG] Licha ya klabu ya Simba Sc kuanza vibaya msimu huu wa NBC Premier League, mshambuliaji wa klabu hiyo Meddie Kagere ameendelea kuweka rekodi zake ngumu ndani ya kikosi hicho kwa kufunga magoli mengi msimu huu. Klabu ya Simba Sc mpaka sasa wamecheza jumla ya michezo 12 ya NBC Premier League (kabla ya mchezo wa Kagera Sugar Vs Simba Sc), katika michezo hiyo Meddie Kagere amefunga jumla ya magoli manne na ndiye kinara wa magoli msimu huu ndani ya kikosi cha Simba Sc. Nafasi ya pili ya ufungaji bora ndani ya klabu ya Simba Sc inashikiliwa na mshambuliaji mpya wa timi hiyo Kibu Denis ambaye amejiunga na klabu ya Simba Sc akitokea katika klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya. Kibu Denis yeye amefanikiwa kufunga jumla ya magoli matatu kwenye michezo 12 ya klabu Simba Sc msimu huu. Wachezaji wengine kama vile Mzamiru Yassin, Kanoute, Sakho, Mohammed Hussein, Peter Banda na Rally Bwalya wamefunga goli moja moja msimu huu. Takiwimu hizi siyo siyo mbaya sana kwa msimu huu licha ya kwamba hazina uwihano mzuri na takwimu za msimu uliopita ambapo Simba Sc walikua na uwezo mkubwa wa kufunga magoli mengi wakiwa na washambuliaji wao hatari Chris Mugalu, Meddie Kagere, na Bocco ambao msimu huu wamekua na kiwango kibovu kwa kushindwa kufunga magoli mengi. Simba Sc wanaendelea kurudi kwenye mfumo wao haswa baada ya kurejea kwa Clatus Chota Chama ambaye ametoka katika klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco siku chache zilizopita. Chama ni moja ya viungo bora ndani ya ligi hii ambapo tayari ameweka rekodi nyingi nzuri akiwa na Simba Sc misimu kadhaa iliyopita. Endapo kama Chama ataendelea kucheza kwa kiwango chake kikubwa ni wazi kwamba washambuliaji wa klabu ya Simba Sc watakua kwenye nafasi ya kufunga magoli msimu huu kutokana na ukweli kwamba kiungo huyu anaweza kutengeneza nafasi nyingi za magoli akiwa katika eneo la ushambuliaji. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom