Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kiwango cha Chama Kudaiwa Kuporomoka, Staa Simba Aanika Haya.

LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kuonyesha kutoridhishwa na kiwango cha kiungo, Cleotus Chama kwenye mchezo ambao Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Kagera, kiungo fundi wa zamani wa Simba, Mtemi Ramadhan amekuwa tofauti na kiwango alichokionyesha Chama kwenye mchezo huo.

Chama ambaye amerejea Simba msimu huu wa usajili wa dirisha dogo baada ya kuuzwa na timu hiyo mwaka 2021, jana alikuwa miongoni mwa nyota waliochapwa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Kagera, Januari 26, 2022.

Baada ya mchezo huo, baadhi ya mashabiki wa soka walionekana kutoridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na Chama na wengine wakiamini sio yule aliyekuwa Simba kabla ya kuuzwa nchini Morocco.

Hata hivyo Mtemi amemkingia kifua nyota huyo raia wa Zambia akisisitiza kuwa kiwango cha Chama wa mechi Kagera ni kile kile alichoondoka nacho Simba mwaka jana.

“Bado yuko vizuri, hajachuja na mashabiki tutarajie pasi nzuri za mwisho na mabao kutoka kwake. Juzi alipata nafasi moja, japo viwanja vya nyasi bandia navyo huwa vina changamoto zake tofauti na vile vya nyasi halisi, vinginevyo angeweza kufunga,” amesema Mtemi na kuongeza.

Amesema Chama yule yule aliyeondoka ndiye yule yule aliyerudi kwenye kikosi cha Simba na hana shaka kuwa baada ya kucheza mechi tatu, nne mchango wake kwenye kikosi cha Simba utaonekana.

[QUOTE="vuligate, post: 617, member: 123"] [HEADING=1]Kiwango cha Chama Kudaiwa Kuporomoka, Staa Simba Aanika Haya.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/chama.jpg[/IMG] LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kuonyesha kutoridhishwa na kiwango cha kiungo, Cleotus Chama kwenye mchezo ambao Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Kagera, kiungo fundi wa zamani wa Simba, Mtemi Ramadhan amekuwa tofauti na kiwango alichokionyesha Chama kwenye mchezo huo. Chama ambaye amerejea Simba msimu huu wa usajili wa dirisha dogo baada ya kuuzwa na timu hiyo mwaka 2021, jana alikuwa miongoni mwa nyota waliochapwa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Kagera, Januari 26, 2022. Baada ya mchezo huo, baadhi ya mashabiki wa soka walionekana kutoridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na Chama na wengine wakiamini sio yule aliyekuwa Simba kabla ya kuuzwa nchini Morocco. Hata hivyo Mtemi amemkingia kifua nyota huyo raia wa Zambia akisisitiza kuwa kiwango cha Chama wa mechi Kagera ni kile kile alichoondoka nacho Simba mwaka jana. [I]“Bado yuko vizuri, hajachuja na mashabiki tutarajie pasi nzuri za mwisho na mabao kutoka kwake. Juzi alipata nafasi moja, japo viwanja vya nyasi bandia navyo huwa vina changamoto zake tofauti na vile vya nyasi halisi, vinginevyo angeweza kufunga,”[/I] amesema [B]Mtemi[/B] na kuongeza. Amesema Chama yule yule aliyeondoka ndiye yule yule aliyerudi kwenye kikosi cha [B]Simba[/B] na hana shaka kuwa baada ya kucheza mechi tatu, nne mchango wake kwenye kikosi cha [B]Simba[/B] utaonekana. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom