Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Atangaza Vita Mpya Simba.

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, juizi Alhamisi alishuka na kikosi cha klabu hiyo kutokea mkoani Kagera, na kuchimba mkwara mzito kuwa wamesahau kuhusu matokeo yao mabaya kwenye michezo iliyopita na wamekuja kuanza vita mpya.

Simba Januari 26, 2022 walipata kipigo dhidi ya Kagera, Kaitaba. Baada ya kurejea Dar, Simba sasa wanajiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), dhidi ya Dar City kesho Jumapili kwa Mkapa.

Kocha Pablo alisema: “Kwanza kabisa niweke wazi kuwa kama kikosi tumesikitishwa na matokeo ambayo tumeyapata katika michezo yetu mitatu iliyopita, kama utaniuliza mimi ningekwambia hatukustahili kupata matokeo yale kutokana na nafasi ambazo tulitengeneza lakini wakati mwingine hivyo ndivyo mpira ulivyo.

“Tunatarajia kuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Dar City, haya ni mashindano mengine ambayo tunatetea ubingwa wake hivyo tumejipanga kuhakikisha tunapata matokeo mazuri ili kurejesha hali ya kujiamini, tutapambana kama fainali kwa kila mchezo ulio mbele yetu na naamini tuna nafasi ya kufanya vizuri.”

[QUOTE="vuligate, post: 619, member: 123"] [HEADING=1]Pablo Atangaza Vita Mpya Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/simba-12.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, juizi Alhamisi alishuka na kikosi cha klabu hiyo kutokea mkoani Kagera, na kuchimba mkwara mzito kuwa wamesahau kuhusu matokeo yao mabaya kwenye michezo iliyopita na wamekuja kuanza vita mpya. Simba Januari 26, 2022 walipata kipigo dhidi ya Kagera, Kaitaba. Baada ya kurejea Dar, Simba sasa wanajiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), dhidi ya Dar City kesho Jumapili kwa Mkapa. Kocha Pablo alisema: “Kwanza kabisa niweke wazi kuwa kama kikosi tumesikitishwa na matokeo ambayo tumeyapata katika michezo yetu mitatu iliyopita, kama utaniuliza mimi ningekwambia hatukustahili kupata matokeo yale kutokana na nafasi ambazo tulitengeneza lakini wakati mwingine hivyo ndivyo mpira ulivyo. “Tunatarajia kuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Dar City, haya ni mashindano mengine ambayo tunatetea ubingwa wake hivyo tumejipanga kuhakikisha tunapata matokeo mazuri ili kurejesha hali ya kujiamini, tutapambana kama fainali kwa kila mchezo ulio mbele yetu na naamini tuna nafasi ya kufanya vizuri.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom