Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Ajitibulia Mwenyewe Simba SC.

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, ameweka rekodi ya kucheza michezo mitatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara, sawa na dakika 270 bila ya kupata bao katika msimu huu.

Kocha huyo aliyebeba Kombe la Mapinduzi, ameweka rekodi hiyo tangu ajiunge na timu hiyo msimu huu akichukua nafasi ya Didier Gomes aliyesitishiwa mkataba.

Simba msimu huu inaonekana ni butu kwenye ushambuliaji, ikiwa kwa ujumla haijafunga bao lolote katika mechi sita za ligi kati ya 13 ilizocheza hadi sasa.

Timu hiyo iliyorejea juzi ikitokea mkoani Bukoba kucheza dhidi ya Kagera Sugar mchezo wa ligi, keshokutwa Jumapili inatarajiwa kuvaana na Dar City kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).

Katika mechi hizi tatu mfululizo ambazo Simba haijapata bao lolote, ni dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya ambao walifunga 1-0, aliyewaliza akiwa ni Paul Nonga.

wake wa pili ni dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa suluhu kwenye Uwanja wa Manungu, kisha Jumatano pale Kaitaba, Bukoba wakachapwa 1-0, bao likifungwa na Mganda, Hamis Kiiza ‘Diego’.

Katika mchezo huo dhidi ya Kagera, Pablo aliwaweka benchi washambuliaji wote huku akitumia viungo pekee katika safu ya ushambuliaji huku Mghana, Bernard Morrison akimpanga namba tisa.

Morrison tangu ajiunge na timu hiyo katika msimu uliopita akitokea Yanga, hajawahi kucheza nafasi hiyo ya ushambuliaji lakini Jumatano alipangwa.

[QUOTE="vuligate, post: 623, member: 123"] [HEADING=1]Pablo Ajitibulia Mwenyewe Simba SC.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/pablo.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, ameweka rekodi ya kucheza michezo mitatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara, sawa na dakika 270 bila ya kupata bao katika msimu huu. Kocha huyo aliyebeba Kombe la Mapinduzi, ameweka rekodi hiyo tangu ajiunge na timu hiyo msimu huu akichukua nafasi ya Didier Gomes aliyesitishiwa mkataba. Simba msimu huu inaonekana ni butu kwenye ushambuliaji, ikiwa kwa ujumla haijafunga bao lolote katika mechi sita za ligi kati ya 13 ilizocheza hadi sasa. Timu hiyo iliyorejea juzi ikitokea mkoani Bukoba kucheza dhidi ya Kagera Sugar mchezo wa ligi, keshokutwa Jumapili inatarajiwa kuvaana na Dar City kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC). Katika mechi hizi tatu mfululizo ambazo Simba haijapata bao lolote, ni dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya ambao walifunga 1-0, aliyewaliza akiwa ni Paul Nonga. wake wa pili ni dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa suluhu kwenye Uwanja wa Manungu, kisha Jumatano pale Kaitaba, Bukoba wakachapwa 1-0, bao likifungwa na Mganda, Hamis Kiiza ‘Diego’. Katika mchezo huo dhidi ya Kagera, Pablo aliwaweka benchi washambuliaji wote huku akitumia viungo pekee katika safu ya ushambuliaji huku Mghana, Bernard Morrison akimpanga namba tisa. Morrison tangu ajiunge na timu hiyo katika msimu uliopita akitokea Yanga, hajawahi kucheza nafasi hiyo ya ushambuliaji lakini Jumatano alipangwa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom