Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Barbara Aitwa Polisi, Asota Saa Nzima.

MTENDAJI Mkuu (C.E.O) wa Simba, Barbara Gonzalez jana Ijumaa alilazimika kusota kwa saa zima kwenye Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Dar, baada ya kuitwa kwa ajili ya kesi yake inayomkabili dhidi ya Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jackline Kamwamu.

Championi Jumamosi ambalo lilikuwepo kituoni hapo lilimshuhudia Barbara akifika kituoni hapo saa 9:10 alasiri akiwa kwenye gari lake kabla ya kushuka nje ya kituo hicho na kuingia ndani kisha kutoka saa 10:15 jioni, akitumia saa moja kituoni hapo.

Barbara alifunguliwa kesi ya udhalilishaji na ofisa huyo wa TFF kwa madai ya kumdhalilisha wakati akijaribu kumzuia asiingie kwenye eneo VVIP katika mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga Desemba 11, mwaka jana.

Hii ni mara ya pili kwa Barbara kuitwa polisi kutokana na kesi hiyo baada ya mara ya kwanza wiki iliyopita kushikiliwa katika kituo cha polisi Alhamisi iliyopita na kumfanya ashindwe kuwepo kwenye mechi ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar.

CEO huyo baada ya kutoka kituoni humo hakutaka kuzungumza na vyombo vya habari bali alipanda kwenye gari lake na kuondoka.

[QUOTE="vuligate, post: 626, member: 123"] [HEADING=1]Barbara Aitwa Polisi, Asota Saa Nzima.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/bvrbvra_245534676_895030654768265_2654446010686184596_n.jpg[/IMG] MTENDAJI Mkuu (C.E.O) wa Simba, Barbara Gonzalez jana Ijumaa alilazimika kusota kwa saa zima kwenye Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Dar, baada ya kuitwa kwa ajili ya kesi yake inayomkabili dhidi ya Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jackline Kamwamu. Championi Jumamosi ambalo lilikuwepo kituoni hapo lilimshuhudia Barbara akifika kituoni hapo saa 9:10 alasiri akiwa kwenye gari lake kabla ya kushuka nje ya kituo hicho na kuingia ndani kisha kutoka saa 10:15 jioni, akitumia saa moja kituoni hapo. Barbara alifunguliwa kesi ya udhalilishaji na ofisa huyo wa TFF kwa madai ya kumdhalilisha wakati akijaribu kumzuia asiingie kwenye eneo VVIP katika mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga Desemba 11, mwaka jana. Hii ni mara ya pili kwa Barbara kuitwa polisi kutokana na kesi hiyo baada ya mara ya kwanza wiki iliyopita kushikiliwa katika kituo cha polisi Alhamisi iliyopita na kumfanya ashindwe kuwepo kwenye mechi ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar. CEO huyo baada ya kutoka kituoni humo hakutaka kuzungumza na vyombo vya habari bali alipanda kwenye gari lake na kuondoka. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom