Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mzee Dalali Awashukia Mabosi Simba.

KUKOSA matokeo mazuri kwa timu ya Simba kumemuibua mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo, Mzee Hassan Dalali ambapo amewashukia viongozi wa timu hiyo akitaka majibu ya chanzo cha hali hiyo.

Dalali ameongeza kuwa kutokana na hali hiyo yeye pamoja na wazee wenzake wanatarajia kukutana kesho Jumapili kwa ajili ya kutafakari hali hiyo inayowaandama timu yao.

Mzee Dalali alisema kwenye kikao hicho wameagiza na kuwataka viongozi wote wa juu wa Simba akiwemo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez kuwepo kutoa majibu.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Mzee Dalali alisema haiwezekani timu yao ikose matokeo kwenye mechi tatu jambo ambalo wao wanahisi kutakuwa na shida mahali na wenye kujua hayo ni viongozi hao.

“Tunataka watuambie pindi tutapokutana nao kesho kwa nini timu ikose matokeo kwenye mechi tatu mfululizo jambo ambalo siyo kawaida yetu. Waje watuambie shida ipo wapi.

“Tumewaambia lazima mwenyekiti wa bodi na C.E.O wawepo. Wao ndiyo wenye majibu sahihi ya haya maswali ambayo sisi wazee wa Simba tunataka kuyajua kutoka kwao,” alisema.

Simba haijapata matokeo kwenye mechi zao tatu za Ligi Kuu Bara wakichapwa 1-0 na Mbeya City na Kagera Sugar huku wakienda suluhu na Mtibwa Sugar.

[QUOTE="vuligate, post: 631, member: 123"] [HEADING=1]Mzee Dalali Awashukia Mabosi Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2020/12/mdalali-data.jpg[/IMG] KUKOSA matokeo mazuri kwa timu ya Simba kumemuibua mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo, Mzee Hassan Dalali ambapo amewashukia viongozi wa timu hiyo akitaka majibu ya chanzo cha hali hiyo. Dalali ameongeza kuwa kutokana na hali hiyo yeye pamoja na wazee wenzake wanatarajia kukutana kesho Jumapili kwa ajili ya kutafakari hali hiyo inayowaandama timu yao. Mzee Dalali alisema kwenye kikao hicho wameagiza na kuwataka viongozi wote wa juu wa Simba akiwemo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez kuwepo kutoa majibu. Akizungumza na Championi Jumamosi, Mzee Dalali alisema haiwezekani timu yao ikose matokeo kwenye mechi tatu jambo ambalo wao wanahisi kutakuwa na shida mahali na wenye kujua hayo ni viongozi hao. “Tunataka watuambie pindi tutapokutana nao kesho kwa nini timu ikose matokeo kwenye mechi tatu mfululizo jambo ambalo siyo kawaida yetu. Waje watuambie shida ipo wapi. “Tumewaambia lazima mwenyekiti wa bodi na C.E.O wawepo. Wao ndiyo wenye majibu sahihi ya haya maswali ambayo sisi wazee wa Simba tunataka kuyajua kutoka kwao,” alisema. Simba haijapata matokeo kwenye mechi zao tatu za Ligi Kuu Bara wakichapwa 1-0 na Mbeya City na Kagera Sugar huku wakienda suluhu na Mtibwa Sugar. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom