Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Franco Atetea Mfumo wa Guardiola Simba.

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ametetea uamuzi wake wa kucheza bila straika halisi katika mchezo wao wa Jumatano iliyopita dhidi ya Kagera Sugar, mfumo ambao umekuwa ukitumiwa sana na kocha wa Man City ya England, Pep Guardiola.

Katika mchezo huo wa Jumatano iliyopita, Simba hawakuanza na straika yeyote wa asili huku wakianza na viungo sita ambao ni Sadio Kanoute, Rally Bwalya, Clatous Chama, Pape Sakho, Mzamiru Yassin na Bernard Morrison ambaye alicheza kama mshambuliaji.

Guardiola alianza kuwa maarufu kutumia mfumo huo wa straika kivuli akiwa na kikosi cha Barcelona ya Hispania.

Akizungumza na Championi Jumamosi, kocha Pablo alisema: “Kama kocha, wajibu wangu mkubwa ni kutafuta suluhisho inapotokea tunapitia changamoto fulani. Kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar hatukuweza kufunga bao lolote kwa dakika 180 za michezo miwili mfululizo iliyopita na niliamini tulipaswa kufanya maamuzi ya utofauti.

“Hapo ndipo tulikuja na wazo la kutumia namba tisa kivuli kwa kujaza viungo wengi na kumtumia Morrison kama straika wetu, kila mmoja ni shuhuda kuwa kwa kiasi fulani tulifanikiwa kutengeneza nafasi lakini kwa bahati mbaya hatukufanikiwa kupata mabao.

“Yote kwa yote kwa sasa tunapaswa kuangalia mbele na kurejesha hali yetu ya kujiamini ili kuwapa furaha mashabiki wetu.”

[QUOTE="Amir, post: 645, member: 20"] [HEADING=1]Pablo Franco Atetea Mfumo wa Guardiola Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-9-1.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ametetea uamuzi wake wa kucheza bila straika halisi katika mchezo wao wa Jumatano iliyopita dhidi ya Kagera Sugar, mfumo ambao umekuwa ukitumiwa sana na kocha wa Man City ya England, Pep Guardiola. Katika mchezo huo wa Jumatano iliyopita, Simba hawakuanza na straika yeyote wa asili huku wakianza na viungo sita ambao ni Sadio Kanoute, Rally Bwalya, Clatous Chama, Pape Sakho, Mzamiru Yassin na Bernard Morrison ambaye alicheza kama mshambuliaji. Guardiola alianza kuwa maarufu kutumia mfumo huo wa straika kivuli akiwa na kikosi cha Barcelona ya Hispania. Akizungumza na [B]Championi Jumamosi, [/B]kocha Pablo alisema: “Kama kocha, wajibu wangu mkubwa ni kutafuta suluhisho inapotokea tunapitia changamoto fulani. Kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar hatukuweza kufunga bao lolote kwa dakika 180 za michezo miwili mfululizo iliyopita na niliamini tulipaswa kufanya maamuzi ya utofauti. “Hapo ndipo tulikuja na wazo la kutumia namba tisa kivuli kwa kujaza viungo wengi na kumtumia Morrison kama straika wetu, kila mmoja ni shuhuda kuwa kwa kiasi fulani tulifanikiwa kutengeneza nafasi lakini kwa bahati mbaya hatukufanikiwa kupata mabao. “Yote kwa yote kwa sasa tunapaswa kuangalia mbele na kurejesha hali yetu ya kujiamini ili kuwapa furaha mashabiki wetu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom