Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Straika Mkongo Aanza Nyodo Simba.

MARA baada ya kufunga bao lake la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu, mshambuliaji Mkongomani ndani ya kikosi cha Simba, Chris Mugalu, ameibuka na kutamka kuwa sasa hivi kasi ya mabao ndiyo imeanza, hivyo watamtambua.

Kauli hiyo aliitoa mshambuliaji huyo mara baada kufunga bao moja katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, juzi Jumapili.

Katika ushindi huo, mabao mengine ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere aliyefunga mawili, huku Clatous Chama,

Rally Bwalya na Pascal Wawa kila mmoja akifunga moja.

Kwa mujibu wa Mugalu, bao hilo litamuongezea hali ya kujiamini baada ya kukaa muda mrefu bila ya kufunga.

“Nina furaha kubwa leo (juzi) kufunga bao langu la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu ambao kwangu nauona

mgumu tofauti na msimu uliopita.

“Lakini ninashukuru kuona nikifunga, bao hili litaniongezea hali ya kujiamini na kufunga mengi zaidi. “Kikubwa niendelee kuomba ushirikiano na umoja kutoka kwa wachezaji, viongozi na mashabiki wetu kuendelea kuvumilia hiki kipindi kigumu tunachokipitia,” alisema Mugalu

[QUOTE="vuligate, post: 660, member: 123"] [HEADING=1]Straika Mkongo Aanza Nyodo Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/mugaluchris07_243701390_1005591420225378_7844867719325901672_n.jpg[/IMG] MARA baada ya kufunga bao lake la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu, mshambuliaji Mkongomani ndani ya kikosi cha Simba, Chris Mugalu, ameibuka na kutamka kuwa sasa hivi kasi ya mabao ndiyo imeanza, hivyo watamtambua. Kauli hiyo aliitoa mshambuliaji huyo mara baada kufunga bao moja katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, juzi Jumapili. Katika ushindi huo, mabao mengine ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere aliyefunga mawili, huku Clatous Chama, Rally Bwalya na Pascal Wawa kila mmoja akifunga moja. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/mugaluchris07_244271520_937896000095714_1815605476186806358_n.jpg[/IMG] Kwa mujibu wa Mugalu, bao hilo litamuongezea hali ya kujiamini baada ya kukaa muda mrefu bila ya kufunga. “Nina furaha kubwa leo (juzi) kufunga bao langu la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu ambao kwangu nauona mgumu tofauti na msimu uliopita. “Lakini ninashukuru kuona nikifunga, bao hili litaniongezea hali ya kujiamini na kufunga mengi zaidi. “Kikubwa niendelee kuomba ushirikiano na umoja kutoka kwa wachezaji, viongozi na mashabiki wetu kuendelea kuvumilia hiki kipindi kigumu tunachokipitia,” alisema Mugalu [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom