Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mangungu: Simba Hali ni Shwari.

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema licha ya timu yao kukosa matokeo mazuri katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara, lakini bado wapo imara na hakuna mgogoro wowote unaoendelea klabuni hapo, kila kitu ni shwari.

Kwenye mechi hizo tatu, Simba imepoteza mbili dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar, huku ikitoka

suluhu na Mtibwa Sugar. Juzi Jumapili ilishinda 6-0 dhidi ya Dar City kwenye Kombe la Shirikisho la

Azam Sports hatua ya 32 bora.

Akizungumza na Spoti Xtra, Mangungu alisema: “Hakuna mgogoro wowote baina ya benchi la ufundi na wachezaji wala bodi, naweza kukiri hayo yanayosemwa ni propaganda za watu wa mataani tu.

[QUOTE="vuligate, post: 661, member: 123"] [HEADING=1]Mangungu: Simba Hali ni Shwari.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/02/simbasctanzania_148252560_244695397183703_4745773412771480422_n.jpg[/IMG] MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema licha ya timu yao kukosa matokeo mazuri katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara, lakini bado wapo imara na hakuna mgogoro wowote unaoendelea klabuni hapo, kila kitu ni shwari. Kwenye mechi hizo tatu, Simba imepoteza mbili dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar, huku ikitoka suluhu na Mtibwa Sugar. Juzi Jumapili ilishinda 6-0 dhidi ya Dar City kwenye Kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 32 bora. Akizungumza na Spoti Xtra, Mangungu alisema: “Hakuna mgogoro wowote baina ya benchi la ufundi na wachezaji wala bodi, naweza kukiri hayo yanayosemwa ni propaganda za watu wa mataani tu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom