Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CAF yairuhusu Simba mashabiki 35, 000.

SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki 35, 000 kuhudhuria mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast utakaopigwa Februari 13 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally alisema kuwa wamepokea barua kutoka CAF ya kuwaruhusu kuingiza mashabiki katika mchezo huo kwa sharti la kutoingiza namba inayozidi watu 35,000.

"Kuelekea mchezo huo, hii leo tumepokea taarifa rasmi kutoka Caf likituruhusu kuingiza mashabiki 35,000 katika mchezo huo kwa hiyo tuwaambie mashabiki wetu wa Simba popote walipo kwamba siku ya mchezo wetu huo ni mashabiki 35,000 pekee ndio watakaoruhusiwa kuingia katika mchezo huo.

Tulitamani kuwa na mashabiki wote 60,000 lakini mamlaka husika kwa maana ya Caf wameturuhusu mashabiki 35,000," alisema Ally.

CAF imeitaka klabu hiyo kufuata taratibu zote za kujikinga na ugonjwa wa corona kama kukaa kwa nafasi baina ya mtu na mtu, kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa maji safi na vitakasa.

Aidha CAF imesisitiza taratibu hizo kuzingatiwa hivyo kila shabiki anapaswa kuchukua hatua na kumlinda mwenzake aliye karibu yake kwa muda wote wa mchezo huo.

Katika hatua nyingine uongozi wa klabu hiyo umepanga kuhakikisha maandalizi yote yanakamilika huku ukiwataka mashabiki kununua tiketi mapema ili kuondoa usumbufu siku ya mchezo.

Simba imepangwa kwenye kundi D katika michuano hiyo ikiwa na timu za RS Berkane (Morocco), Asec Mimosas (Ivory Coast) na US Gendarmerie Nationale ya Nigeria.

Baada ya mchezo na Ases Mimosas, Simba itasafiri kucheza michezo miwili ugenini na US Gendarmerie Nationale Februari 20 kisha RS Berkane Februari 27, kabla ya kurudiana na Berkane Machi 13 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Michezo miwili iliyosalia itasafiri Ivory Coast kucheza na Ases Mimosas Machi 20, kisha kumaliza hatua hiyo ya makundi dhidi ya US Gendarmerie Nationale Aprili 3 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

[QUOTE="vuligate, post: 664, member: 123"] [HEADING=1]CAF yairuhusu Simba mashabiki 35, 000.[/HEADING] [IMG alt="caf pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3701676/60a31a044e372b40d0ac3e13f616a84f/caf-pic-data.jpg[/IMG] SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki 35, 000 kuhudhuria mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast utakaopigwa Februari 13 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally alisema kuwa wamepokea barua kutoka CAF ya kuwaruhusu kuingiza mashabiki katika mchezo huo kwa sharti la kutoingiza namba inayozidi watu 35,000. "Kuelekea mchezo huo, hii leo tumepokea taarifa rasmi kutoka Caf likituruhusu kuingiza mashabiki 35,000 katika mchezo huo kwa hiyo tuwaambie mashabiki wetu wa Simba popote walipo kwamba siku ya mchezo wetu huo ni mashabiki 35,000 pekee ndio watakaoruhusiwa kuingia katika mchezo huo. Tulitamani kuwa na mashabiki wote 60,000 lakini mamlaka husika kwa maana ya Caf wameturuhusu mashabiki 35,000," alisema Ally. CAF imeitaka klabu hiyo kufuata taratibu zote za kujikinga na ugonjwa wa corona kama kukaa kwa nafasi baina ya mtu na mtu, kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa maji safi na vitakasa. Aidha CAF imesisitiza taratibu hizo kuzingatiwa hivyo kila shabiki anapaswa kuchukua hatua na kumlinda mwenzake aliye karibu yake kwa muda wote wa mchezo huo. Katika hatua nyingine uongozi wa klabu hiyo umepanga kuhakikisha maandalizi yote yanakamilika huku ukiwataka mashabiki kununua tiketi mapema ili kuondoa usumbufu siku ya mchezo. Simba imepangwa kwenye kundi D katika michuano hiyo ikiwa na timu za RS Berkane (Morocco), Asec Mimosas (Ivory Coast) na US Gendarmerie Nationale ya Nigeria. Baada ya mchezo na Ases Mimosas, Simba itasafiri kucheza michezo miwili ugenini na US Gendarmerie Nationale Februari 20 kisha RS Berkane Februari 27, kabla ya kurudiana na Berkane Machi 13 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Michezo miwili iliyosalia itasafiri Ivory Coast kucheza na Ases Mimosas Machi 20, kisha kumaliza hatua hiyo ya makundi dhidi ya US Gendarmerie Nationale Aprili 3 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom