Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Aitisha Kikao ghafla Juzi Simba.

UNAAMBIWA muda mfupi baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dar City, Kocha Mkuu

wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco, ameitisha kikao ghafla Juzi Simba iliibuka na ushindi huo mnono katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports uliochezwa Uwanja wa Mkapa,Dar.

Kwa siku za karibuni, Simba imekuwa haina matokeo mazuri katika ligi kuu hali inayotishia kulikosa taji wanalolitetea kutokana na kuachwa pointi kumi na vinara Yanga baada ya timu zote kucheza mechi 13.

Chanzo chetu kutoka Simba, kimeliambia Spoti Xtra kuwa, baada ya mchezo wa juzi dhidi ya Dar City, Kocha Pablo ambaye hakuwepo kwenye benchi kutokana na kufungiwa mechi tatu, aligoma kuzungumza lolote na wachezaji.

“Ushindi wetu wa jana (juzi Jumapili), umeongeza morali kwa wachezaji kuanza kuona mwelekeo katika mechi zijazo tukianza na Prisons.

“Kutokana na ushindi huo na mchezo ulio mbele yetu, ndiyo kisa cha Kocha Pablo kuwataka wachezaji wawahi kambini leo (jana Jumatatu), ili kupata muda wa kukaa kikao na uongozi kabla ya kuanza mazoezini kujiandaa

kuwakabili Prisons,” kilisema chanzo hicho.

Alipotafutwa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, alisema: “Kikao kilipangwa kufanyika baadaya mazoezi ya jioni (jana Jumatatu) ambapo ni kawaida ya kocha na wachezaji kuzungumza kukumbushanamambo.”

Katika mechi tatu zilizopita za Ligi Kuu Bara, Simba imekuwa na matokeo yasiyoridhisha ambapo imekusanya alama moja kati ya tisa kutokana na kupata suluhu dhidi ya Mtibwa Sugar na kupoteza mbele ya Mbeya City na Kagera Sugar.

[QUOTE="vuligate, post: 673, member: 123"] [HEADING=1]Pablo Aitisha Kikao ghafla Juzi Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/simba-12.jpg[/IMG] UNAAMBIWA muda mfupi baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dar City, Kocha Mkuu wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco, ameitisha kikao ghafla Juzi Simba iliibuka na ushindi huo mnono katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports uliochezwa Uwanja wa Mkapa,Dar. Kwa siku za karibuni, Simba imekuwa haina matokeo mazuri katika ligi kuu hali inayotishia kulikosa taji wanalolitetea kutokana na kuachwa pointi kumi na vinara Yanga baada ya timu zote kucheza mechi 13. Chanzo chetu kutoka Simba, kimeliambia Spoti Xtra kuwa, baada ya mchezo wa juzi dhidi ya Dar City, Kocha Pablo ambaye hakuwepo kwenye benchi kutokana na kufungiwa mechi tatu, aligoma kuzungumza lolote na wachezaji. “Ushindi wetu wa jana (juzi Jumapili), umeongeza morali kwa wachezaji kuanza kuona mwelekeo katika mechi zijazo tukianza na Prisons. “Kutokana na ushindi huo na mchezo ulio mbele yetu, ndiyo kisa cha Kocha Pablo kuwataka wachezaji wawahi kambini leo (jana Jumatatu), ili kupata muda wa kukaa kikao na uongozi kabla ya kuanza mazoezini kujiandaa kuwakabili Prisons,” kilisema chanzo hicho. Alipotafutwa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, alisema: “Kikao kilipangwa kufanyika baadaya mazoezi ya jioni (jana Jumatatu) ambapo ni kawaida ya kocha na wachezaji kuzungumza kukumbushanamambo.” Katika mechi tatu zilizopita za Ligi Kuu Bara, Simba imekuwa na matokeo yasiyoridhisha ambapo imekusanya alama moja kati ya tisa kutokana na kupata suluhu dhidi ya Mtibwa Sugar na kupoteza mbele ya Mbeya City na Kagera Sugar. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom