Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wawa afunguka shangilia yake.

BEKI Pascal Wawa wa Simba juzi Jumapili alifunga bao lakini kilichovutia ni namna alivyoshangilia kitofauti na wenzake wote baada ya kwenda moja kwa moja kwa Henock Inonga ‘Varane’ na kumkumbatia kisha alipita kwenye benchi zima la timu yake na kuwapa mkono.

Wawa aliingia katika dakika ya 45 akichukua nafasi ya Varane na dakika 47 alifunga bao la tano la Simba kwa shuti ndani ya boksi wakati Wekundu wa Msimbazi wakishinda 6-0 dhidi ya Dar City kwenye mchezo wa hatua ya 32-Bora ya Kombe la Shirikisho Azam (ASFC).

Akizungumza na Mwanaspoti, Wawa kwa kifupi alisema; “Inonga wakati naingia uwanjani aliniambia “kila la kheri kaka.” Kauli ile ilinipa moyo. Kushangilia kwa kuwafata benchi zima ni kwa sababu sisi ni familia, sisi ni kitu kimoja, nawapenda mashabiki pia.”

Wawa hajawa na uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza kwasasa mbele ya mabeki Inonga na Joash Onyango ambao wamekuwa kwenye kiwango bora kwasasa timu ikiwa chini ya kocha Pablo Franco.

[QUOTE="vuligate, post: 684, member: 123"] [HEADING=1]Wawa afunguka shangilia yake.[/HEADING] [IMG alt="wawa pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3702718/ef0b32ab23927c768b16521e76ce46ad/wawa-pic-data.jpg[/IMG] BEKI Pascal Wawa wa Simba juzi Jumapili alifunga bao lakini kilichovutia ni namna alivyoshangilia kitofauti na wenzake wote baada ya kwenda moja kwa moja kwa Henock Inonga ‘Varane’ na kumkumbatia kisha alipita kwenye benchi zima la timu yake na kuwapa mkono. Wawa aliingia katika dakika ya 45 akichukua nafasi ya Varane na dakika 47 alifunga bao la tano la Simba kwa shuti ndani ya boksi wakati Wekundu wa Msimbazi wakishinda 6-0 dhidi ya Dar City kwenye mchezo wa hatua ya 32-Bora ya Kombe la Shirikisho Azam (ASFC). Akizungumza na Mwanaspoti, Wawa kwa kifupi alisema; “Inonga wakati naingia uwanjani aliniambia “kila la kheri kaka.” Kauli ile ilinipa moyo. Kushangilia kwa kuwafata benchi zima ni kwa sababu sisi ni familia, sisi ni kitu kimoja, nawapenda mashabiki pia.” Wawa hajawa na uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza kwasasa mbele ya mabeki Inonga na Joash Onyango ambao wamekuwa kwenye kiwango bora kwasasa timu ikiwa chini ya kocha Pablo Franco. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom