Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kiiza amtetea Bocco.

STRAIKA wa Kagera Sugar, Hamis Kiiza anawashangaa Watanzania wanaomshauri nahodha wa Simba, John Bocco, 32, kwenda kusomea ukocha kwa madai ya kwamba umri umemtupa na ameshashuka kiwango wakati bado anahitajika uwanjani.

Kauli ya Kiiza imekuja baada ya kuona Bocco anasakamwa kila kona, kutokana na ukame wa mabao anaoupitia msimu huu, jambo analoliona ni kama wanamkosea.

Kiiza anaamini Bocco atafanya jambo kubwa na kuwashangaza watu msimu huu kwani mechi bado nyingi na anaweza akaibuka kinara wa mabao.

“Hali anayoipitia Bocco imewahi kunikumba, kwanza nilivyojiunga na Kagera Sugar walinisema nimeisha kwasababu hawakujua nilikuwa nafanya nini,”

“Angalau nilivyoifunga Simba kejeli zao za kuwa nina kitambi zinaishia, ndio maana namtetea Bocco kwamba naamini ana kitu kikubwa anachoweza kukifanya msimu huu,” alisema Kiiza na kuongeza:

“Hicho anachopitia ni kipindi cha mpito na kinaweza kumtokea mchezaji yeyote hivyo si sawa kwa watu kumuandama kama ilivyo sasa.

“Bocco anastahili heshima kwani ni mshambuliaji mzuri na namkubali sana. Naamini kabisa akitulia na aache kabisa kufikiria watu wanasema nini atarudi kwenye ubora wake kwani bado ana nafasi ya kufunga mabao mengi tu kwa sababu mechi bado zipo na anaweza hata kuibuka mfungaji bora na kuwashangaza watu.”

[QUOTE="Amir, post: 685, member: 20"] [HEADING=1]Kiiza amtetea Bocco.[/HEADING] [IMG alt="bocco pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3702768/landscape_ratio16x9/1160/652/ae491a0becf8f89376266b1396139b7/yD/bocco-pic.jpg[/IMG] STRAIKA wa Kagera Sugar, Hamis Kiiza anawashangaa Watanzania wanaomshauri nahodha wa Simba, John Bocco, 32, kwenda kusomea ukocha kwa madai ya kwamba umri umemtupa na ameshashuka kiwango wakati bado anahitajika uwanjani. Kauli ya Kiiza imekuja baada ya kuona Bocco anasakamwa kila kona, kutokana na ukame wa mabao anaoupitia msimu huu, jambo analoliona ni kama wanamkosea. Kiiza anaamini Bocco atafanya jambo kubwa na kuwashangaza watu msimu huu kwani mechi bado nyingi na anaweza akaibuka kinara wa mabao. “Hali anayoipitia Bocco imewahi kunikumba, kwanza nilivyojiunga na Kagera Sugar walinisema nimeisha kwasababu hawakujua nilikuwa nafanya nini,” “Angalau nilivyoifunga Simba kejeli zao za kuwa nina kitambi zinaishia, ndio maana namtetea Bocco kwamba naamini ana kitu kikubwa anachoweza kukifanya msimu huu,” alisema Kiiza na kuongeza: “Hicho anachopitia ni kipindi cha mpito na kinaweza kumtokea mchezaji yeyote hivyo si sawa kwa watu kumuandama kama ilivyo sasa. “Bocco anastahili heshima kwani ni mshambuliaji mzuri na namkubali sana. Naamini kabisa akitulia na aache kabisa kufikiria watu wanasema nini atarudi kwenye ubora wake kwani bado ana nafasi ya kufunga mabao mengi tu kwa sababu mechi bado zipo na anaweza hata kuibuka mfungaji bora na kuwashangaza watu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom