Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chama, Bwalya Wampa Jeuri Mpya Pablo.

UWEZO mkubwa ambao umeonyeshwa na kikosi cha Simba hususani viungo wao raia wa Zambia, Clatous

Chama na Rally Bwalya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi Dar City umemuibua kocha mkuu, Pablo Franco ambaye ameweka wazi kuwa hawatakata tamaa kuhusu ubingwa wao na watapambana kushinda kila mchezo ulio mbele yao.

Simba Januari 30, mwaka huu wakiwa katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa hatua ya 32 ya michuano ya Kombe la Shirikisho laAzam ambapo walifanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora huku Chama na Bwalya wakionyesha uwezo mkubwa.

Ushindi huo ni wa kwanza kwa Simba katika michezo yao minne mfululizo iliyopita ambapo michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara walipoteza michezo miwili na kutoa sare mchezo mmoja.

Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Pablo alisema: “Ni jambo zuri kuweza kupata ushindi huu muhimu dhidi ya Dar City, hususani baada ya kupitia kipindi kigumu cha kukosa matokeo katika michezo mitatu mfululizo ya ligi kuu.

“Lakini kama ambavyo nilieleza hapo awali, kwetu yaliyopita yamepita na tunawekeza katika michezo yetu ijayo, hatukati tamaa kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri nini kitatokea mwishoni mwa msimu, hivyo la muhimu kwetu ni kushikamana na naamini tutajitahidi kushinda kila mchezo ujao.”

[QUOTE="Amir, post: 702, member: 20"] [HEADING=1]Chama, Bwalya Wampa Jeuri Mpya Pablo.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/SIMBA-2.jpg[/IMG] UWEZO mkubwa ambao umeonyeshwa na kikosi cha Simba hususani viungo wao raia wa Zambia, Clatous Chama na Rally Bwalya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi Dar City umemuibua kocha mkuu, Pablo Franco ambaye ameweka wazi kuwa hawatakata tamaa kuhusu ubingwa wao na watapambana kushinda kila mchezo ulio mbele yao. Simba Januari 30, mwaka huu wakiwa katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa hatua ya 32 ya michuano ya Kombe la Shirikisho laAzam ambapo walifanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora huku Chama na Bwalya wakionyesha uwezo mkubwa. Ushindi huo ni wa kwanza kwa Simba katika michezo yao minne mfululizo iliyopita ambapo michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara walipoteza michezo miwili na kutoa sare mchezo mmoja. Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Pablo alisema: “Ni jambo zuri kuweza kupata ushindi huu muhimu dhidi ya Dar City, hususani baada ya kupitia kipindi kigumu cha kukosa matokeo katika michezo mitatu mfululizo ya ligi kuu. “Lakini kama ambavyo nilieleza hapo awali, kwetu yaliyopita yamepita na tunawekeza katika michezo yetu ijayo, hatukati tamaa kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri nini kitatokea mwishoni mwa msimu, hivyo la muhimu kwetu ni kushikamana na naamini tutajitahidi kushinda kila mchezo ujao.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom