Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kakolanya afunguka kila kitu ishu ya Simba.

LICHA ya kutopata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza, kipa Beno Kakolanya wa Simba amesema suala hilo halimfanyi kuwa chini ya kiwango akipewa mechi ya kucheza.

Kakolanya ameendelea kuwa kipa namba mbili nyuma ya Aishi Manula ingawa anapopata nafasi ya kucheza hufanya viuzri.

Akizungumza na Mwanaspoti, Kakolanya alisema akiwa nje ya uwanja huwa anajifunza kutoka Manula huku akifuata kwa ukaribu maelekezo ya kocha.

“Kitu kingine nikipewa mechi huwa najiamini sinaga hofu yoyote ile kwamba sichezi basi kiwango changu kimeshuka hicho kitu hakipo kichwani kwangu, siku zote akili yangu inaniambia nipo vile vile na najitahidi kuwa bora zaidi kupitia mazoezi tunayofanya,” alisema Kakolanya.

Kuhusu kucheza bila kuruhusu bao, alisema hilo ndio jambo la muhimu ambalo kocha wao wa makipa anawasisitiza kila mmoja amalize mechi kwa namna hiyo.

“Ni kitu ambacho tunafanya kazi mazoezi na kocha wetu anapenda tusiwe tunaruhusu mabao, sisi wote huwa tunatamani tumalize kwa staili hiyo na kubwa zaidi tuongee sana na mabeki wetu na itakuwa rahisi sana kwetu kutoka bila kuruhusu bao,” alisema Kakolanya.

Kakolanya msimu huu amecheza mechi mbili, Kombe la Mapinduzi mechi moja dhidi ya Selem View uliomalizika wakishinda 2-0 baada ya hapo aliumia mazoezini na kukaa nje ya uwanja kwa muda hivyo Manula kurejea golini.

Kipa huyo alirejea uwanjani aliendelea kukaa benchi kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Mbeya City, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na kurejea mechi ya kombe la Shirikisho Azam dhidi ya Dar City ambapo alikaa golini na kupata ushindi 6-0 na Dar City.

[QUOTE="Amir, post: 713, member: 20"] [HEADING=1]Kakolanya afunguka kila kitu ishu ya Simba.[/HEADING] [IMG alt="beno pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3703928/61da19664656ab8732417d5adb8a305c/beno-pic-data.jpg[/IMG] LICHA ya kutopata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza, kipa Beno Kakolanya wa Simba amesema suala hilo halimfanyi kuwa chini ya kiwango akipewa mechi ya kucheza. Kakolanya ameendelea kuwa kipa namba mbili nyuma ya Aishi Manula ingawa anapopata nafasi ya kucheza hufanya viuzri. Akizungumza na Mwanaspoti, Kakolanya alisema akiwa nje ya uwanja huwa anajifunza kutoka Manula huku akifuata kwa ukaribu maelekezo ya kocha. “Kitu kingine nikipewa mechi huwa najiamini sinaga hofu yoyote ile kwamba sichezi basi kiwango changu kimeshuka hicho kitu hakipo kichwani kwangu, siku zote akili yangu inaniambia nipo vile vile na najitahidi kuwa bora zaidi kupitia mazoezi tunayofanya,” alisema Kakolanya. Kuhusu kucheza bila kuruhusu bao, alisema hilo ndio jambo la muhimu ambalo kocha wao wa makipa anawasisitiza kila mmoja amalize mechi kwa namna hiyo. “Ni kitu ambacho tunafanya kazi mazoezi na kocha wetu anapenda tusiwe tunaruhusu mabao, sisi wote huwa tunatamani tumalize kwa staili hiyo na kubwa zaidi tuongee sana na mabeki wetu na itakuwa rahisi sana kwetu kutoka bila kuruhusu bao,” alisema Kakolanya. Kakolanya msimu huu amecheza mechi mbili, Kombe la Mapinduzi mechi moja dhidi ya Selem View uliomalizika wakishinda 2-0 baada ya hapo aliumia mazoezini na kukaa nje ya uwanja kwa muda hivyo Manula kurejea golini. Kipa huyo alirejea uwanjani aliendelea kukaa benchi kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Mbeya City, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na kurejea mechi ya kombe la Shirikisho Azam dhidi ya Dar City ambapo alikaa golini na kupata ushindi 6-0 na Dar City. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom