Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Onyango, Morrison Wekwa Sokoni Simba.

MAMBO ni magumu kwa sasa ndani ya Simba kutokana na mwendo wa kusuasua hasa kwenye matokeo waliyopata kwenye mechi tatu mfululizo ugenini jambo lililofanya mikataba ya mastaa wengi kuwekwa kando.

Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya Simba zimeeleza kuwa kwa sasa hakuna mchezaji hata mmoja

ambaye ameitwa kufanya mazungumzo kuhusu kuongeza mikataba yao ili waweze kuhudumu ndani ya kikosi

hicho.

Miongoni mwa mastaa ambao mikataba yao inatarajiwa kufika ukingoni pale msimu wa 2021/22

utakapomeguka ni pamoja na Bernard Morrison, Hassan Dilunga, Ibrahim Ame, Joash Onyango na Said Ndemla.

Hii ni sawa na Simba kuwaweka sokoni nyota wao ambao wamebakiza mkataba wa chini miezi sita kwani kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka la Kimataifa ‘Fifa’ mchezaji anapobakiza muda huo kwenye kandarasi yake anakuwa huru kufanya mazungumzo na timu nyingine yoyote na wakikubaliana anaweza kusaini mkataba wa awali.

Baada ya taarifa kueleza kwamba hakuna mpango wowote ambao unaendelea kwa sasa, Championi Jumatano lilimtafuta Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ili aweze kuzungumzia suala hilo simu yake haikupokelewa.

Alipotafutwa Mwenyekiti wa Simba, Murtanza Mangungu azungumzie ishu hiyo pia hakupatikana.

[QUOTE="Amir, post: 716, member: 20"] [HEADING=1]Onyango, Morrison Wekwa Sokoni Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/bm-pic-data.jpg[/IMG] MAMBO ni magumu kwa sasa ndani ya Simba kutokana na mwendo wa kusuasua hasa kwenye matokeo waliyopata kwenye mechi tatu mfululizo ugenini jambo lililofanya mikataba ya mastaa wengi kuwekwa kando. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya Simba zimeeleza kuwa kwa sasa hakuna mchezaji hata mmoja ambaye ameitwa kufanya mazungumzo kuhusu kuongeza mikataba yao ili waweze kuhudumu ndani ya kikosi hicho. Miongoni mwa mastaa ambao mikataba yao inatarajiwa kufika ukingoni pale msimu wa 2021/22 utakapomeguka ni pamoja na Bernard Morrison, Hassan Dilunga, Ibrahim Ame, Joash Onyango na Said Ndemla. Hii ni sawa na Simba kuwaweka sokoni nyota wao ambao wamebakiza mkataba wa chini miezi sita kwani kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka la Kimataifa ‘Fifa’ mchezaji anapobakiza muda huo kwenye kandarasi yake anakuwa huru kufanya mazungumzo na timu nyingine yoyote na wakikubaliana anaweza kusaini mkataba wa awali. Baada ya taarifa kueleza kwamba hakuna mpango wowote ambao unaendelea kwa sasa, Championi Jumatano lilimtafuta Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ili aweze kuzungumzia suala hilo simu yake haikupokelewa. Alipotafutwa Mwenyekiti wa Simba, Murtanza Mangungu azungumzie ishu hiyo pia hakupatikana. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom